TIBA YA SHERIA
New Member
- Oct 22, 2026
- 1
- 0
Ni upenyo upi unaweza kunisaidia kufungua shauri la mirathi bila cheti cha kifo? ikiwa kuna mtu kashikiria cheti cha kifo na hataki kukitoa?
Swear an affidavit explaining why you can not produce the cheti. Explain why the death certificate can not be procured.Ni upenyo upi unaweza kunisaidia kufungua shauri la mirathi bila cheti cha kifo? ikiwa kuna mtu kashikiria cheti cha kifo na hataki kukitoa?