Ni upi mchango wa wanazuoni wetu katika siasa za Tanzania? Je, wanashauri, wanaponda, wanasifia?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Salaam Ndugu zangu,

Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu.

Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha hasa linapokuja suala la mchango wao katika jamii kwa upande wa siasa.

Wengi wetu wametekwa na mambo matatu niiyoyataja hapo juu, CHUKI (KUPONDA KILA KITU), NJAA(KUSIFIA KILA KITU)

Kinachoharibu wanazuoni wamekubali kutejwa na pande za vyama kuliko uhalisia wa jambo wanalotakiwa kutetea kwa mslahiya nchi

Walio mlengo wa Upinzani wengi wao wanakuwa wanaponda tu bila kuona kama kuna mazuri yanayofanyika baadhi.

Tuna , Jenerali Uimwengu (si Professa ila mwanamapinduzi), tuna Mzee warioba Hawa kila jambo ni Kukashfu na kuona haijafanyika inavyotakiwa.

walioko Mlengo wa Chama Tawala wao ni kusifia kila kitu hata ambavyo ni aibu kwa nchi kuna Mzee Kabudi, kuna Mkumbo, na kuna Wengine wengi na hawa ni wengi sana.

Wanaosimama Neutral
Ni issa Shivji
Mzee Mabala Richard,

Hii inaendelea kurithiwa na vijana pia. Taifa la Tanzania kwa miaka 30 ijayo litauwa la hovyo sana.

Britanicca
 
Naomba nikushauri unapoandika "academic paper". Unapokuwa na hoja kuhusu jambo fulani, jitahidi sana kutoa mifano katika kulinganisha. Mfano, umeulizia mchango wa wasomi wetu. Mbona hujatupa mifano ya michango ya wasomi wa Kenya, Uganda, Rwanda, Congo DR kutaja chache. Lakini
 
Back
Top Bottom