Ni upotoshaji yule sio Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani

Katibu Mkuu yupi?
si huyo water melon hapo chadema hq gentleman?

waliohoji pesa chafu chadema hq huyo water melon alisema ni uhuru na haki ya wanachama kuohiji,

waliohoji ufisadi ndani ya chadema hq eti sasa wanakiuka katiba ya chadema na kwahivyo wanafukuzwa uongozini
 
usiwe Zwazwa... Wananchi wana haki ya kuhoji kwa kuwa wamo ndani ya Tanzania. Na wanachama wanatakiwa wahoji ndani ya CHADEMA.

Mifumo ndiyo huamua uhoji vipi.
 
usiwe Zwazwa... Wananchi wana haki ya kuhoji kwa kuwa wamo ndani ya Tanzania. Na wanachama wanatakiwa wahoji ndani ya CHADEMA.

Mifumo ndiyo huamua uhoji vipi.
mbon ukiohoji ufisadi wa heche water melon anakufuta uoangozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…