Ni upotoshaji yule sio Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani

Ni upotoshaji yule sio Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani

Huna (hamna) ulijualo... Hakuna kitu kinachoitwa ufisadi wa Heche.

Sijui hamjui jinsi ya kufanya propaganda kwenye zama hizi?
Gentleman,
kwa pesa chafu ziliwahi kuwapo chadema HQ wakati kibaraka anahoji hivyo wakati ule ambapo ilikua ni haki na uhuru wa wa viongozi wa chadema kuhoji mambo hayo?

na je,
kipi kimebadilika sasa viongozi wanapo hoji ufisadi wa heche hata, iwe ni kukiuka katiba ya chadema?

watare melon bana?
halafu wakati ule yeye huyo huyo ndio alikua katibu mkuu wa chadema na leo hii yeye ndio huyohuyo katibu mkuu :pedroP:
 
Labda haya ndiyo matumizi ya mavazi ya CHADEMA yaliyoporwa na Polisi Dar es Salaam miezi miwili iliyopita!
Press zote zinafika kwenye eneo moja na pazia unaona halibadiliki hata hapo ni pazia tuliloona kwa waliotangulia ajabu wanasema ni wa mikoa tofauti.

Mmoja eti yupo Tanga mwingine Morogoro ila pazia ni moja huyu nae wa Pwani leo same old stories.
HNDRBA1WUAAPzDE.jpg
HNDRAakXoAACow6.jpg
 
Naanza kuelewa ile mission ya polisi kuvamia yule aliyekuwa akiuza sure za cdm ili kuzipata na kuwavalisha hao wahuni waanze kuhorojeka hakika tumeona kinachoendelea jeshi la polisi linafanya siasa tawi la ccm
Kweli kabisa mkuu
 
si huyo water melon hapo chadema hq gentleman?

waliohoji pesa chafu chadema hq huyo water melon alisema ni uhuru na haki ya wanachama kuohiji,

waliohoji ufisadi ndani ya chadema hq eti sasa wanakiuka katiba ya chadema na kwahivyo wanafukuzwa uongozini :pedroP:
Ndondocha wa Samia na ccm mpaka mbane matako awamu hii Kwa chadema mtake msitake
 
Back
Top Bottom