Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Huna (hamna) ulijualo... Hakuna kitu kinachoitwa ufisadi wa Heche.mbon ukiohoji ufisadi wa heche water melon anakufuta uoangozi
Huyo anaweza kupeleka hoja ya kunyimwa unyumba kwenye mkutano wa kijijini kwao.usiwe Zwazwa... Wananchi wana haki ya kuhoji kwa kuwa wamo ndani ya Tanzania. Na wanachama wanatakiwa wahoji ndani ya CHADEMA.
Mifumo ndiyo huamua uhoji vipi.
Gentleman,Huna (hamna) ulijualo... Hakuna kitu kinachoitwa ufisadi wa Heche.
Sijui hamjui jinsi ya kufanya propaganda kwenye zama hizi?
Mombo hawezi kufanya ujinga kama huoKeragosi wa Mombo na Kenani
Wamefikia mwisho wa kuandika hadithi za kufikirika sasa ni utumbo tuu.
Si walifungua mahakama ya mafisadi, kama Heche ni fisadi kwanini wasimfungulie mashtaka rasmi badala ya kutujazia serverr za Jf na nyuzi zao za kikudi zisizo na kichwa wala miguu.Huna (hamna) ulijualo... Hakuna kitu kinachoitwa ufisadi wa Heche.
Sijui hamjui jinsi ya kufanya propaganda kwenye zama hizi?
Press zote zinafika kwenye eneo moja na pazia unaona halibadiliki hata hapo ni pazia tuliloona kwa waliotangulia ajabu wanasema ni wa mikoa tofauti.Labda haya ndiyo matumizi ya mavazi ya CHADEMA yaliyoporwa na Polisi Dar es Salaam miezi miwili iliyopita!
Unatarajia nini endapo unampa project yako asimamie mtu kilaza kama jasusi la bei ya punguzo Yericko NyerereHela za Abdul zinapigwa kibwege sana!
Sema wakigundua uliwadanganya wanakuua, huyo kijana ajiangalie
Wote wamekaa eneo moja, Pazia lilelilePress zote zinafika kwenye eneo moja na pazia unaona halibadiliki hata hapo ni pazia tuliloona kwa waliotangulia ajabu wanasema ni wa mikoa tofauti.
Mmoja eti yupo Tanga mwingine Morogoro ila pazia ni moja huyu nae wa Pwani leo same old stories.
View attachment 3629733View attachment 3629734
Kuna nadharia ya kipelelezi inayosema kila mfanya uhalifu ni lazima aache alama. Shida ni kuzitambua hizo alama.Wote wamekaa eneo moja, Pazia lilelile
Kweli kabisa mkuuNaanza kuelewa ile mission ya polisi kuvamia yule aliyekuwa akiuza sure za cdm ili kuzipata na kuwavalisha hao wahuni waanze kuhorojeka hakika tumeona kinachoendelea jeshi la polisi linafanya siasa tawi la ccm
Shida wanaendekeza njaa.Press zote zinafika kwenye eneo moja na pazia unaona halibadiliki hata hapo ni pazia tuliloona kwa waliotangulia ajabu wanasema ni wa mikoa tofauti.
Mmoja eti yupo Tanga mwingine Morogoro ila pazia ni moja huyu nae wa Pwani leo same old stories.
View attachment 3629733View attachment 3629734
Hivi vitu vinahitaji mtu mwenye akili.Press zote zinafika kwenye eneo moja na pazia unaona halibadiliki hata hapo ni pazia tuliloona kwa waliotangulia ajabu wanasema ni wa mikoa tofauti.
Mmoja eti yupo Tanga mwingine Morogoro ila pazia ni moja huyu nae wa Pwani leo same old stories.
View attachment 3629733View attachment 3629734
Nguruwe akili hamna hata mavi yenu mnakulambon ukiohoji ufisadi wa heche water melon anakufuta uoangozi
Ndondocha wa Samia na ccm mpaka mbane matako awamu hii Kwa chadema mtake msitakesi huyo water melon hapo chadema hq gentleman?
waliohoji pesa chafu chadema hq huyo water melon alisema ni uhuru na haki ya wanachama kuohiji,
waliohoji ufisadi ndani ya chadema hq eti sasa wanakiuka katiba ya chadema na kwahivyo wanafukuzwa uongozini
Mimi mwenyewe nilishangaa mpambanaji gani kapaka superblack kichwani