Mmh!! Nyerere ali promote sana kiswahili chenye asili yake ya maneno 60% kiarabu, hivi kwanini hakuendeleza kisukuma ambcho kina ongelewa kwa 25% ya watanzania, unasikia mtu eti "shikamoo" manaake ni nini? Tungesalimiana "muangharuka Mayo".... tungepungukiwa nini?1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mdogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Una kajitu kana ndevu panya buku
3 Unakuta Mnyakusya au Mkinya muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabu
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo
4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu
5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu
6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.
6. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Wakina adriz na ERTUGRUL BEY watasema umewatukana matusi ya nguoni.1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mdogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Una kajitu kana ndevu panya buku
3 Unakuta Mnyakusya au Mkinya muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabu
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo
4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu
5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu
6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.
6. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Hapa nimezungumzia tamaduni za waarabu wala sio diniWakina adriz na ERTUGRUL BEY watasema umewatukana matusi ya nguoni.
Mfano wa za kirumi ni zipi mkuu?ila ni sawa wakifuata za kirumi
hata elimu namna ya kuabudu mitindo ya maisha nakadhalika.Nikisema kirumi namaanisha kizunguMfano wa za kirumi ni zipi mkuu?
Mkuu,Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Ni tamaduni za kiarabu ndo zimeongelewa sio diniHivi inakuwaje mtu unaamka tu unachagua vita na imani ya wengine?
Muda unaotumia kukashifu ya wengine ungetumia kusifia ya kwako