Kiswahili chake unaijua ...taja kwa kiswahili hiyo salamu .... pia salamu njema zipo nyingi tu ...imeandikwa Yesu alipo fufuka tu na kuonana na wanafunzi wake aliwasalimia hiyo salamu.Ikiwa salamau ipo toka agano la kale kwa nini nyinyi hamsalimiani, basi hata kwa kiswahili?
Ukinipa hiyo saysnsi toka Quran nabatizwa leo leoSasa watumwa wa waarabu watampa elimu Gani mtoto
Sayansi Yao wanasema jua huzama kwenye tope
Sijakuelewa, kwamba na wewe unaamini kama warabu kuwa jua usiku huzama kwenye topeUkinipa hiyo saysnsi toka Quran nabatizwa leo leo
Umesema roho mtakatifu ana nafsi mbili ndani yake, moja ya Mungu na nyingine ya binadamu je hiyo nafsi ya binadamu ni ya binadamu gani?Soma soma au tukuminye mbavu ...Wewe unajua yakini kuwa muislamu yoyote ni lazima apinge kuwa Yesu siyo Mungu kwa sababu ukikubali kuwa yesu ni Mungu au ni mkuu kuliko muhammad tayari umesha gundua kuwa msahafu na muhammad ni vitabu vya shetani.
Sikusema hivyo ..pia nilikujibu ili swali kuhusu hiyo nafsi ya pili ..Umesema roho mtakatifu ana nafsi mbili ndani yake, moja ya Mungu na nyingine ya binadamu je hiyo nafsi ya binadamu ni ya binadamu gani?
Nilikuuliza kuhusu nafsi mbili za Yesu ukakana ukasema hujasema Yesu ila roho mtakatifu ndio ana nafsi mbili sasa naona unabadilisha tenaSikusema hiyo ..pia nilikujibu ili swali kuhusu hiyo nafsi ya pili ..
Nilisema Nafsi ya mungu inapokuwa ndani ya mcha mungu ndiyo uitwa kwa jina la ROHO MTAKATIFU ndiyo utokea fafanuzi hii ya mwili mmoja wenye nafsi mbili ...yaani nafsi ya huyo mchamungu na nafsi ya mungu
Neno ROHO MTAKATIFU ANA NAFSI MBILI SIJAWAI KULISEMA POPOTE KWA SABABU ROHO MTAKATIFU NI NAFSI MOJA TU YA MUNGU ..MUNGU ANA NAFSI MOJA TU..HAKUNA MUNGU MWRNYE NAFSI MBILI ...nafsi mbili niliyo sema mimi ni nafsi moja ya mungu na nafsi moja ya mwanadamu zikiwa ndani ya mwili mmoja ndiyo huo mwili nikautaja kuwa ni MWILI MMOJA WENYE NAFSI 2...wewe ni kichwa ngumuNilikuuliza kuhusu nafsi mbili za Yesu ukakana ukasema hujasema Yesu ila roho mtakatifu ndio ana nafsi mbili sasa naona unabadilisha tena
Sawa niambie kati ya Yesu na roho mtakatifu yupo ana nafsi mbili ya binadamu na ya Mungu?
😂😂😂😂😂Acha kututisha. Kichogo kinabonyezwa tu na kibarghashia kinakaa mwake, gauni linashikiliwa na mbio tunapiga tena kuwakimbia wenye mashamba tuliowalishia mashamba yao. Ndevu twapaka hinna na ziota mwake mwake tukiongea waona meno meupe tu. Bismillah na inshallah twaitamka vyema kushinda hata muarabu mwenyewe.
Neno kuwa na roho mtakatifu ni kuwa na nafsi mbili ndani ya mwili mmoja ni sahihi ila siyo (Roho Mtakatifu ni nafsi mbili.)Nilikuuliza kuhusu nafsi mbili za Yesu ukakana ukasema hujasema Yesu ila roho mtakatifu ndio ana nafsi mbili sasa naona unabadilisha tena
Sawa niambie kati ya Yesu na roho mtakatifu yupo ana nafsi mbili ya binadamu na ya Mungu?
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku
3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo
4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu
5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu
6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.
7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kuita watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Ulisema roho mtakatifu ndiyo mwili wa binadamu wenye nafsi mbiliNeno ROHO MTAKATIFU ANA NAFSI MBILI SIJAWAI KULISEMA POPOTE KWA SABABU ROHO MTAKATIFU NI NAFSI MOJA TU YA MUNGU ..MUNGU ANA NAFSI MOJA TU..HAKUNA MUNGU MWRNYE NAFSI MBILI ...nafsi mbili niliyo sema mimi ni nafsi moja ya mungu na nafsi moja ya mwanadamu zikiwa ndani ya mwili mmoja ndiyo huo mwili nikautaja kuwa ni MWILI MMOJA WENYE NAFSI 2...wewe ni kichwa ngumu
Na uliposema kwa Yesu kuwa ana nafsi ya Mungu na mwili wa binadamuNeno kuwa na roho mtakatifu ni kuwa na nafsi mbili ndani ya mwili mmoja ni sahihi ila siyo (Roho Mtakatifu ni nafsi mbili.)
Huu upumbavu wa kuunganisha mama samia na uislamu ni ujinga wa kitoto sana , yaliyofanyika October 29 hata uislamu haukubali hayo .Halafu kutwa kucha kumsimanga Mama Samia. Kumbe unaficha chuki dhidi ya Uislam na Waislam.
Hii ndo hasara ya jamii kukosa elimu na kujifanya waarabuHalafu kutwa kucha kumsimanga Mama Samia. Kumbe unaficha chuki dhidi ya Uislam na Waislam.
Bila ya kona kona, Kiarabu ni lugha yenye mfumo wa kipekee na uliokamilika wa mawasiliano, na kwa msingi wa kihistoria, kimuundo na kielimu, kinaweza kuitwa lugha ya elimu.Salam siyo mbaya
Kwanini iwe Kwa kiarabu?