Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Walio changanyikiwa zaidi ni wale ukristo umeanzia mashariki ya kati , ila wao wameiga Tamaduni za kizungu kwenye ukristo.

mti wa krismasi na santa claus , sio ukristo ni tamaduni za ulaya tu.


Ndoa , gauni Jeupe na suti si ukristo ni tamaduni za kizungu tu

Majina ya kizungu pita , julieti Catherine na nk sio ukristo ni tamaduni za kizungu tu
 
Hakika sisi waafrika ni maamuma
Yani mtu anaona aibu kuitwa Masawe, Mabula au Nyabisi anafurahia kuitwa careen, Joseph
 
Kuna hoja tunaweza kujibu na nyengine tunazipuuza tu,miongoni mwa hoja ambao ni za kujibu na kukuelimisha ni hii ya kwako

Assalaam alaikum hii ni salamu na ni dua ni salamu kongwe sana tangu zama na zama,ni salamu walizotumia manabii na mitume,mfano Yesu alikuwa anawasalimia watu kwa kusema AMANI IWE JUU YENU

Kwahiyo kwanza ni dua na pili tunapata malipo kwa kila salamu tunayo salimiana,je wewe hupendi tutakiane amani?
 
Sijui kiarabu
Nitamkie ' amani ya Mungu iwe nawe'
Mbona nitaelewa vyema
Au Mungu wenu hajui kiswahili?
 
Hii mentality ilitakiwa ifutiliwe mbali wakati wa kupata uhuru. Uhuru ulipatikana ila mila, desturi na damaduni za kiarabu zikawa zimewaingia waafrika hawa weusi tii mpaka sasa wanaona ugumu kuachana na dini ya kiarabu, tena wengine wa pwani wameichanganya na tamaduni za makabila yao kabisa. Utakuta kabila fulani wamejaza uislam na kuonekana ndio formation ya maisha yao
 
Asilimia 65 ya Kiswahili ni Kibantu, 30% Kiarabu na 5% lugha nyingine
 
Matako yako aslimia 60 ya maneno ya kiswahili ni maneno ya kibantu
 
La hasha, waungwana na jamii iliyostaarabika hupeana salamu na kujuliana hali kila wakati kama sababu ya udugu na kuwa wanajamii.

Hoja yangu ipo katika matumizi ya lugha. Inanipa ukakasi kuona mtu ananisalimu kwa kusema Shalom au assalamualaikum kwa mlengo wa dini na sio kitaalamu. Si bora hata tunavyosalimiana English kumaanisha tunajifunza lugha ya malkia kama lugha ya biashara na lugha ya kimataifa ambayo hutumika popote duniani hata Uarabuni.

Basi kwanini hatusalimiani kwa lugha yetu mama kiswahili kama lengo ni kusalimiana na kujuliana hali. Maana mimi ukinisalimia kiarabu halafu muendelezo ni maneno kwa lugha ya kiswahili inanipa wakati mgumu kuelewa mkuu.

Nipe maoni yako hapo.
 
No culture is 100% undefiled.

Even the English Language has only 24% of old English words, but the rest is Latin and Greek.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…