Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
BIBLIA INAAMRISHA KUWA KUUA NABII AU MUOTA NDOTO ANAYEFUNDISHA WATU WAABUDU MIUNGU YA KISHIRIKINAKwanza Uislamu haulazimishi Dini:
3: 85- Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
9:29 - Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"
Si mnaona
Hakuna kulazimisha Dini:
BIBLIA INAAMRISHA KUUA MJI MZIMA, WATU NA WANYAMA WOTE WANATAKIWA WAULIWE KWA UPANGA ENDAPO HUO MJI UTAMUACHA MUNGU WA KWELI NA KUABUDU MIUNGU YA KISHIRIKINA...IKAENDA MBALI ZAIDI NA KUSEMA MJI WOTE UANGAMIZWE KWA KUCHOMWA MOTO.Kwanza Uislamu haulazimishi Dini:
3: 85- Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
9:29 - Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"
Si mnaona
Hakuna kulazimisha Dini:
Kwahiyo umekubali Aya inayosema hakuna kulazimisha dini katika Uislamu sio ya kweli:BIBLIA INAAMRISHA KUUA MJI MZIMA, WATU NA WANYAMA WOTE WANATAKIWA WAULIWE KWA UPANGA ENDAPO HUO MJI UTAMUACHA MUNGU WA KWELI NA KUABUDU MIUNGU YA KISHIRIKINA...IKAENDA MBALI ZAIDI NA KUSEMA MJI WOTE UANGAMIZWE KWA KUCHOMWA MOTO.
kumb 13:12-16
Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo Bwana, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,
13 Kumetoka katikati yako mabaradhuli kadha wa kadha, wamewapotoa wenyeji wa mji wao, wakisema, Twendeni tukaabudu miungu mingine msiyoijua;
14 ndipo nawe uulize na kutafuta, ukiuliza kwa bidii; nawe angalia, ikiwa kweli, na jambo lile halina shaka, kwamba machukizo mfano wa haya yafanyika katikati yako;
15 hakika yako uwapige wenyeji wa mji ule kwa makali ya upanga, kwa kuwaangamiza kabisa, pamoja na vitu vyote vilivyomo, na wanyama walio humo, kwa makali ya upanga.
16 Na nyara zake zote uzikusanyie katikati ya njia yake; na mji uuteketeze kwa moto, na nyara zake zote, kuwe sadaka kamili ya kuteketezwa kwa Bwana, Mungu wako; nao utakuwa magofu milele; usijengwe tena.
wapi nimekwambia kuwa sio ya kweli...vp hizo aya za kwenye bibilia ni za ukweli au uongo?Kwahiyo Aya ya hakuna kulazimisha dini katika Uislamu sio ya kweli
Au siyo:
Shit, hao wahaya hao na usomi wao wanatumiaje mchanga kutawaza bwana!1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku
3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo
4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu
5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu
6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.
7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Kwani kwenye Biblia pameandikwa hakuna kulazimisha katika Dini ?wapi nimekwambia kuwa sio ya kweli...vp hizo aya za kwenye bibilia ni za ukweli au uongo?
Hakuna kulazimishana kwenye dini...hiyo aya ilishuka kipindi mtume bado yupo Makkah.Kwani kwenye Biblia pameandikwa hakuna kulazimisha katika Dini ?
Inayo sema hivyo ni
Qurani
Aya hii hapa
Je hii Aya inaongopa?
2:256 - Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua
Kwa wasioweza (wenye kipato kidogo) kulipa hiyo kodi Ya Jazya hatima yao inakuwaje ?Hakuna kulazimishana kwenye dini...hiyo aya ilishuka kipindi mtume bado yupo Makkah.
Alipohamia Madinah na kuwa na dola (serikali) kamili ya kiislam...ALLAH akamteremshia aya ya 5 na 29 katika sura ya 9.
Ama kwa ahlul kitab ( watu waliopewa kitabu yaani mayahudi na wakristo) hatuwalazimishi kuslimu wanaweza kuishi ndani ya dola ya kiislam kwa kulipa Jizya (Kodi) ambayo itawahakikishia usalama wao na mali zao.
Ama kwa washirikina wasioamini kabisa uwepo wa Mungu au wanaabudia miungu ya kishirikina hao tumeamrishwa kupigana nao vita mpaka wafe au wasilimu naa kuacha ushirikina wao.
Vipi kuhusu tamaduni za wazungu nazo pia zinakukera?Hapa nimezungumzia tamaduni za waarabu wala sio dini
Sio kila mwarabu ni muislam, Kuna waarabu wakristo na wapagani pia
Jizya (kodi ya Ulinzi)Kwa wasioweza (wenye kipato kidogo) kulipa hiyo kodi Ya Jazya hatima yao inakuwaje ?
Kwani neno asante asili yake ni lugha gani?1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku
3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo
4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu
5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu
6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.
7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
MTU AWEZI KUAMINI KATIKA UISLAMU NA AKAWA NA AKILI HATA SIKU MOJA....DINI DUNI NA MBOVU ZAIDI DUNIANI NI UISLAMU...UISLAMU NI DINI MBOVU ZAIDI YA FREEMASON.1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku
3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo
4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu
5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu
6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.
7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika
Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Hivi kuna Mkristo anayesoma kile chuo cha Morogoro?Nenda pale chuo kikuu Cha kiislam morogoro utacheka 🤣🤣
Vitoto vya chuo vimefunika sura na yale manguo yao black Ila ikifka usiku wanainamishwa kwa kuhongwa chips
Wewe ujaelewa mleta mada ...soma tena ....mleta mada aongelei kuwa na dini wala lugha.... lugha kuwa na maneno ya kiarabu au kizungu ni kawaida, baadhi ya maneno kuchukuliwa kwenye lugha nyingine na kutumika kama yalivyo ....mleta mada anacho ongelea ni utumwa na ulimbukeni ambao waislamu wanao kuhusu uarabu ...kwanza kuamini kiarabu ndiyo lugha ya msikitini ni upumbavu na ulimbukeni na uongo na utapeli na utumwa wa akili ....kuamini mavazi ya kiarabu ndiyo mavazi ya kidini na kimungu ni utumwa na ulimbukeni na uanithi wa akili...NI MUNGU GANI ALIYE WAAMBIA WATU DUNIANI KUWA LUGHA ZOTE DUNIANI NI HARAMU MBELE YA MUNGU ISIPOKUWA KIARABU ...NI MUNGU GANI ALIYE WAAMBIA WANADAMU KUWA LUGHA YA KUMUOMBA YEYE NI KIARABU TU HIVYO USIPO JUA KIARABU UWEZI KUMUOMBA ...NI NANI ALIYE WAAMBIA WAISLAMU KUWA SHEKHE NI LAZIMA ASWALISHE KWA KIARABU ? Al-mukheef FaizaFoxy Jagina Bwana Utam Covax adrizKwani neno asante asili yake ni lugha gani?
Hivi leo ukiita kanisa asili ya hilo neno ni nini?