Ni upuuzi kufikiria kumuondoa Kocha Nabi

Kocha wanaajiriwa ili wawe fired, kama kashindwa timiza malengo basi hakuna kingine zaidi ya kufurushwa...

Otherwise kama aliajiriwa kwa ajili ya long term plans basi atasalia
 
Yanga Mmezoea kuhonga, kimataifa mmeshindwa kuhonga ndo mana hamapat ushindi
KOLOWIZARD mmelishwa sumu mbaya sana na umbumbumbu wenu, si huwa mnasema ninyi MAKOLO ni timu tajiri sana kuliko YANGA ndiyomaana hata mkataba wenu kwa miaka mitano ni B 26?

Sasa mnakubalije kuhongwa na timu maskini YANGA FC? [emoji16]
 
Nabi wa kazi gani sasa,ana wachezaji wazuri lakini mbinu hana ni lazima Yanga tufanye maamuzi magumu.makocha wapo wengi yeye sio wa kwanza,ebo!
Ina maana sasa tuwe na kazi ya kufukuza makocha tu..maana kama tutakosa uvumilivu basi hata aje nani ataonekana hafai

Hivi leo hii Yanga tukimleta Pep guardiola na wachezaji hawa itawezekana tubebe kikombe cha afrika?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Choko choko za Nabi kufukuzwa ni za yale ma-chempazee ya mzimbazi wala si Mashabiki wa YANGA
 
Ukisema uwe na kocha ati achukue ubingwa wa afrika kwa viwango vyetu vya soka east/central africa basi utafukuza heta makocha mia

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hata kama sio kuchukua kombe, ndo misimu yote miwili atolewe hatua hizi za awali, hata kunusa makundi tu?

Ukitaka kuamini kuwa hamna kocha, hata kwenye playoffs za shirikisho mtatolewa ili muendelee na project zenu mfu.
 
Kocha wanaajiriwa ili wawe fired, kama kashindwa timiza malengo basi hakuna kingine zaidi ya kufurushwa...

Otherwise kama aliajiriwa kwa ajili ya long term plans basi atasalia
Huwezi kusema kuwa una long term plans ilihali avarage age ya kikosi inakataa hilo wazo. Unaweza kuweka malengo ya muda mrefu ukiwa na wachezaji wenye umri kati ya 24-26 na sio kwa players wenye miaka 30+

Ukweli ni kwamba wachezaji wa Yanga Sc walisajiliwa ili kutimiza malengo fulani ambayo yameshindwa kufikiwa kwa misimu miwili mfululizo, hata hivyo walikiri kuwa malengo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi CAFCL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Choko choko za Nabi kufukuzwa ni za yale ma-chempazee ya mzimbazi wala si Mashabiki wa YANGA
Uzuri makocha wenyewe wakiona mnawasumbua sana na utahira wenu wanakuja kwenye media na kuwaita manyani,mambwa mnabweka bweka hovyo na bado mtadaiwa mpunga kama alivyowafanya luc eymael
Mnajifanya mnamtetea nabi kumbe kibubu hakina kitu cha kulipia fidia za kuvunja mkataba
Makima nyie
 
Simba walivyotolewa na jwaneng msim uliopita nini kilimpata kocha?

Simba walivyoona mwenendo wa zoran sio mzur kwa simba nini kilimpata kocha?

Yanga wajifunze kunusa hatari kabla haijawatokea puan
 
Waambie yanga wakuhesabie mechi walizoshinda kipind cha pili af wakupe sababu ya kiutalaam
 
Waambie yanga wakuhesabie mechi walizoshinda kipind cha pili af wakupe sababu ya kiutalaam
Sema ukweli hata wewe jambo lako likikwama miamala ni muhimu. Na hiyo ipo hata kwa Yanga wakishindwa na kulemewa wanatembeza miamala tu.
 

Inabidi kupambana, usifikiri huko shirikisho ni kwepesi. Inabidi Yanga iache Ujinga yale ni mashindano ya Kimataifa,haipaswi kuleta utoto wa Mayele sijui kitu gani. Yanga ilikua na uwezo wa kushinda home game dhidi ya Al Hilal, lakini nafasi za kutoa pasi kwa clear goal mtu anataka sifa za kutafuta hatrick ambao ni ujinga kabisa.
Ijitahidi, huko shirikisho nako wapo wadau wakubwa pia.
 
Mkimtimua Nabi mleteni Pitso. Aliwapingeza hata mlipochukua ubingwa kwa hiyo anawafahamu
 
Unadhani atakaa yanga milele?atakula umeme tu siku
 
Hii ndo point mkuu,viongozi wanajua team yao inashindaje gemu za ndani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…