Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio tunabeba,Yanga tuna wachezaji wenye kiwango kikubwa na hao ndo wanaficha madhaifu ya Nabi.Ina maana sasa tuwe na kazi ya kufukuza makocha tu..maana kama tutakosa uvumilivu basi hata aje nani ataonekana hafai
Hivi leo hii Yanga tukimleta Pep guardiola na wachezaji hawa itawezekana tubebe kikombe cha afrika?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kaa mbali na Yanga,wewe ujahuzunika kitendo walichofanyiwa wachezaji wa Yanga na wale waarabu wa Sudan?Kwani Lazima Ushabikie Yanga Si Uhame.