Ni upuuzi kufikiria kumuondoa Kocha Nabi

Ni upuuzi kufikiria kumuondoa Kocha Nabi

Hii nchi sasa hivi INA ugonjwa was USHABIKI MSUKULE kwenye Moira, Siasa, Muziki.

Yaani kuna lindo LA nyumbu hazitumiii akili kabisa.
 
Ina maana sasa tuwe na kazi ya kufukuza makocha tu..maana kama tutakosa uvumilivu basi hata aje nani ataonekana hafai

Hivi leo hii Yanga tukimleta Pep guardiola na wachezaji hawa itawezekana tubebe kikombe cha afrika?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
ndio tunabeba,Yanga tuna wachezaji wenye kiwango kikubwa na hao ndo wanaficha madhaifu ya Nabi.
kwanza kubali Nabi hana mbinu za ziada,Mungu saidia Bangala,Aucho na Mayele wasipate injury za mara kwa mara au za muda mrefu Yanga ita stragle sana kupata ushindi.

Yanga daima,mbele mwiko nyuma mwiko[emoji120]
 
Back
Top Bottom