Piga kura uwezavyo kwa binti wa kitanzania happy....
Uliyajuaje yote hayo wakati huangalii? Manake kwa jinsi ninavyoifahamu BBA ni lazima ufuatilie toka Day 1 hadi siku ya mwisho ndo unaweza kuona mlolongo wa yote hayo...
Unapokuwa anti social na unakosa kukifahamu kitu kinachoitwa social capital, lazima uje na thread hafifu na iliyo kondeana kama hii...
kijana usijione kuwa wewe ndio unazifahamu sana social capita kumbe ni wenda wazimu unakusumbua .ninyi ndio mnaliwa Tigo kisa social media alaaa
Baada ya kutukana ndiyo nimejua uwezo wako wa kufikiri... Ulikuwa na kila sababu ya kuandika huu utumbo wako... Pole sana.
mkuu Chinga One ukitaka kumhakikishia ushindi katika Top three yako usiweke muafrika hata mmoja ina mpunguzi kura halafu wenye 25,50,10! keep voting!
Nimebadili uraia sasahv sio mbogo tena...
Unafahamu maana ya msemo wa povu au umeamua tu kuutumia kwavile wengine wanautumia? Second, unaweza kuniambia wewe binafsi, kisha ndugu, jamaa na rafiki zako waneathirika nini tangua Idris alipoingia hadi anatoka BBA?wewe hujielewi swala lile jambo lina faida gani ?katika jamii povu lote hilo la nini
Unafahamu maana ya msemo wa povu au umeamua tu kuutumia kwavile wengine wanautumia? Second, unaweza kuniambia wewe binafsi, kisha ndugu, jamaa na rafiki zako waneathirika nini tangua Idris alipoingia hadi anatoka BBA?
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa katika Media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote katika maisha zaidi ya upuuzi mtupu. Kama vipi nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain!
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa. Na tupinge mashindano ya kipuuzi kama haya nchini kwetu.
Nitapiga kura endapo nitajua huko BIG BROTHER wanashindania nini....?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Yaan mmngejua how big wanatutangaza kimataifa. Yaan tunajulikana. That makes watalii wake watuletee fedha za kigeni. Majamaaa wanatutangaza sana. Na wakishinda ndo kbsa watu wanaanza kuulizana Tanzania ndo wapi. Wakielekezwa wapenda kutembea kama kina Kim has washakuja. Jmn inasaidia sana hamjui tuu
Ajitangaze yeye na mafirauni wenzake na hao watalii wamiminike kwao huyo kaka mkubwa kuwabandua dada zake maana ndicho alichokitangaza huko ni ngono na usheitwain...
IKiwa umeshindwa kujibu maswali mepesi kama haya na badala yake unaishia kuuliza swali; hivi bado tu unajiweka katika kundi la watu wanaojitambua? Narudia---1.rudi kwa mwalimu wako akakufundishe maana ya povu then fanya comparison na mada sina muda wa kukufundisha mimi.
2.familia yenu imefidi nini kutokana big brother
3.jitambu kabla ya kuendelea kutoka povu zaid hapa
Kama huna majibu, basi piga kimya...Unafahamu maana ya msemo wa povu au umeamua tu kuutumia kwavile wengine wanautumia? Second, unaweza kuniambia wewe binafsi, kisha ndugu, jamaa na rafiki zako waneathirika nini tangua Idris alipoingia hadi anatoka BBA?