Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Unapokuwa anti social na unakosa kukifahamu kitu kinachoitwa social capital, lazima uje na thread hafifu na iliyo kondeana kama hii...
 
Uliyajuaje yote hayo wakati huangalii? Manake kwa jinsi ninavyoifahamu BBA ni lazima ufuatilie toka Day 1 hadi siku ya mwisho ndo unaweza kuona mlolongo wa yote hayo...

wewe hujielewi swala lile jambo lina faida gani ?katika jamii povu lote hilo la nini
 
Unapokuwa anti social na unakosa kukifahamu kitu kinachoitwa social capital, lazima uje na thread hafifu na iliyo kondeana kama hii...

kijana usijione kuwa wewe ndio unazifahamu sana social capita kumbe ni wenda wazimu unakusumbua .ninyi ndio mnaliwa Tigo kisa social media alaaa
 
Baada ya kutukana ndiyo nimejua uwezo wako wa kufikiri... Ulikuwa na kila sababu ya kuandika huu utumbo wako... Pole sana.
 
mkuu Chinga One ukitaka kumhakikishia ushindi katika Top three yako usiweke muafrika hata mmoja ina mpunguzi kura halafu wenye 25,50,10! keep voting!

Hao waafrika ninao vote for ni wale ambao hawapo kwenye top yoyote ile.
 
Last edited by a moderator:
Yamebaki masaa machache tuendelee kumpigia kura Happiness... msisahau pia kuangalia miss Tz saa kuminamoja Citizen na Ch. E
 
wewe hujielewi swala lile jambo lina faida gani ?katika jamii povu lote hilo la nini
Unafahamu maana ya msemo wa povu au umeamua tu kuutumia kwavile wengine wanautumia? Second, unaweza kuniambia wewe binafsi, kisha ndugu, jamaa na rafiki zako waneathirika nini tangua Idris alipoingia hadi anatoka BBA?
 
1.rudi kwa mwalimu wako akakufundishe maana ya povu then fanya comparison na mada sina muda wa kukufundisha mimi.
2.familia yenu imefidi nini kutokana big brother
3.jitambu kabla ya kuendelea kutoka povu zaid hapa
 
Upuuzi kama hujui thaman ya social issues kwa age yako,mwisho wa siku utamwambia mama ako kwann ulimkubali baba,unafaa kufanywa uliyetoa mada na wote wanaokusapoti mwisho wa siku WE WILL CHEAT AGAIN nawe ukafilw$ tena

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa katika Media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote katika maisha zaidi ya upuuzi mtupu. Kama vipi nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain!

Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa. Na tupinge mashindano ya kipuuzi kama haya nchini kwetu.

Piga kona tgen pita zako waachie wenye hobi zao
 
Kwani ukiangalia mfano epl au la liga nk unapata "faida" gani?

Labda utufafanulie faida kwako ni nini haswa
 
Yaan mmngejua how big wanatutangaza kimataifa. Yaan tunajulikana. That makes watalii wake watuletee fedha za kigeni. Majamaaa wanatutangaza sana. Na wakishinda ndo kbsa watu wanaanza kuulizana Tanzania ndo wapi. Wakielekezwa wapenda kutembea kama kina Kim has washakuja. Jmn inasaidia sana hamjui tuu
 
Ajitangaze yeye na mafirauni wenzake na hao watalii wamiminike kwao huyo kaka mkubwa kuwabandua dada zake maana ndicho alichokitangaza huko ni ngono na usheitwain...
 
Unadhani kila mtu anaamini unacho amini wewe?
 
1.rudi kwa mwalimu wako akakufundishe maana ya povu then fanya comparison na mada sina muda wa kukufundisha mimi.
2.familia yenu imefidi nini kutokana big brother
3.jitambu kabla ya kuendelea kutoka povu zaid hapa
IKiwa umeshindwa kujibu maswali mepesi kama haya na badala yake unaishia kuuliza swali; hivi bado tu unajiweka katika kundi la watu wanaojitambua? Narudia---
Unafahamu maana ya msemo wa povu au umeamua tu kuutumia kwavile wengine wanautumia? Second, unaweza kuniambia wewe binafsi, kisha ndugu, jamaa na rafiki zako waneathirika nini tangua Idris alipoingia hadi anatoka BBA?
Kama huna majibu, basi piga kimya...
 
Back
Top Bottom