Mi naona ni vyema kumpigia kura kwa ajili ya masilahi ya taifa.Nasema ivi nikiwa na maana endapo atashinda iyo pesa itaingia ktk mzunguko hapa nchini kwa maana iyo itasaidia watanzania wenzetu.Kama issue ni maadili ili ni tatizo la kitaifa,nikiwa na maana maadili hayazingatiwi kwa kiasi kikubwa mfano sakata la Escrow limegusa viongozi wa dini ata wa kitaifa na lina athari kubwa ktk taifa kuliko ili la Bba.Pia ktk tembea yangu Duniani nimegundua yale viongozi wetu wanayopiga vita hapa kwetu kwamba yanakiuka maadili,wakiwa kwenye nchi za watu wao ndio wahudhuriaji wakubwa tena wanatumia fedha wanayotuibia kama hawana akili vizuri.Huu ni unafiki usio na kipimo wa kujifanya unazingatia maadili ukiwa Tanzania,unapotoka nje una tofauti na wanaocheza picha za n.g.on.o.Tuache unafiki!!
mwendomdundoMfano mdogo ni jinsi Dodoma inavyofurika ma dada poa wakati wa vikao vya Bunge,we unafikiri wanafata nn?Jibu linajieleza.Wanaofatwa ndio haohao utakuta wamevimbisha misuli ya shingo kupinga bendi za music kuvaa nusu utupu,wengine wanamiliki bendi na wacheza show sina haja ya kueleza naamini wengi wenu mnafahamu ili.Kama sio unafiki ni nn?Pia ata baadhi wanaopinga umu jamvini kama ukibahatika kukamata cmu zao naamini ukosi kukuta picha za utupu wamedownload.Kifupi tuache unafiki
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa ktk media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote ktk maisha zaaidi ya upu.uzi mtupu....
Kama vp nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain...
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa.
Na tupinge mashindano ya kipu. Uzi kama haya nchini kwetu.
naunga mkono toka waziri wa vijana kipindi kile Dk.Emanuel Nchimbi alipotangaza umma kuwa hayo mashindano hayana baraka za serikali...hili jukumu la kupiga marufuku upuuzi waikabidhi polisi mbona raia wote watanyooka?
Hao polisi wako waambie wamkamate yule jaama aliyeiweke serikali dhaifu ya ccm mfukoni licha ya kuwa ana husishwa na makosa ya jinai kughushi,kutakatisha pesa ndo uje kujihushisha na kuzuia BBA,mwalimu aliwaambie mkifungua dirisha hewa itaingia na nzi mende nyoka ndo haya sasa nachelewa ngoja nimgongee kura mwanetu Idris Sultani alete mpunga bongo
wewe kweli kichwa mavi sasa polis watafanya jukumu gani kuzuia teh teh teh. kumkamata mtu na kumuweka ndani akiongea au kuandika neno BBA ?!