Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Mi naona ni vyema kumpigia kura kwa ajili ya masilahi ya taifa.Nasema ivi nikiwa na maana endapo atashinda iyo pesa itaingia ktk mzunguko hapa nchini kwa maana iyo itasaidia watanzania wenzetu.Kama issue ni maadili ili ni tatizo la kitaifa,nikiwa na maana maadili hayazingatiwi kwa kiasi kikubwa mfano sakata la Escrow limegusa viongozi wa dini ata wa kitaifa na lina athari kubwa ktk taifa kuliko ili la Bba.Pia ktk tembea yangu Duniani nimegundua yale viongozi wetu wanayopiga vita hapa kwetu kwamba yanakiuka maadili,wakiwa kwenye nchi za watu wao ndio wahudhuriaji wakubwa tena wanatumia fedha wanayotuibia kama hawana akili vizuri.Huu ni unafiki usio na kipimo wa kujifanya unazingatia maadili ukiwa Tanzania,unapotoka nje una tofauti na wanaocheza picha za n.g.on.o.Tuache unafiki!!
 
Tanzania kenya uganda na namibia walimgongea kura Idris sio lazima umpigie
 
Umemaliza....though siungi mkono big brother ila tusisingizie maadili....tungetaka maadili tusingeichakachua katiba ya Warioba ambayo imeainisha maadili ya uongozi.....tatizo watu wanajua maadili ni kuvaa staha tu....ila wizi wa kalamu walaa kwao sio swala LA maadili.

Na hapa suluhisho ni rahisi tu....ukiona upuuzi usipige kura, wala haitokuathiri kitu....kama tu Mimi nilivyoamua kutoipigia kura Katiba ya Chenge ( though itaniathiri Mimi na kizazi changu)
 
mimi naona ni mapenzi binafsi ya mtu kama ww upendi wapo wanaopenda kuwapigia so baki na msimamo wako na wengine wabaki na wakuwapigia
 
Mfano mdogo ni jinsi Dodoma inavyofurika ma dada poa wakati wa vikao vya Bunge,we unafikiri wanafata nn?Jibu linajieleza.Wanaofatwa ndio haohao utakuta wamevimbisha misuli ya shingo kupinga bendi za music kuvaa nusu utupu,wengine wanamiliki bendi na wacheza show sina haja ya kueleza naamini wengi wenu mnafahamu ili.Kama sio unafiki ni nn?Pia ata baadhi wanaopinga umu jamvini kama ukibahatika kukamata cmu zao naamini ukosi kukuta picha za utupu wamedownload.Kifupi tuache unafiki
 
tatizo watu wengi tunaish maisha ya kinafiki hadharan, ya kwamba ni watakatifu na wastaarabu hadharan. lakini huko gizani ni wachafu sana , unakuta hata mchungaji au shekh unakuta gizani mafirauni wakubwa.

kama wewe ni msafi hadharan na gizan basi usipige kura kwa idris. lakini kama gizan mchafu hadharan wajidai malaika basi piga kura kwa idris.

ndio yaleyale ya kuwa mlevi na pombe wabugia na gesti ni mteja mzuri ila kula kitimoto ni haramu!
 
Jamani ebu tuachieni sie hivi vitu vitam kwani mmelazimishwa kuangalia tupu?Acheni tupunguze msongo bwana!Migodi mnapiga dili!Wanyama mnatorosha!sijui ma epa,hospitali dawa hakuna, ma eskoroi na madudu gani huko kote nyie mkifaidi sie tume tulia tu sasa hata hii suuza macho mnaitaka?JAMANI TUENDELEENI KUTAZAMA KILE ROHO INAPENDA!ANGALIA TUPU ANGALIA BBA KUTOA STRESSSS!
 
Mfano mdogo ni jinsi Dodoma inavyofurika ma dada poa wakati wa vikao vya Bunge,we unafikiri wanafata nn?Jibu linajieleza.Wanaofatwa ndio haohao utakuta wamevimbisha misuli ya shingo kupinga bendi za music kuvaa nusu utupu,wengine wanamiliki bendi na wacheza show sina haja ya kueleza naamini wengi wenu mnafahamu ili.Kama sio unafiki ni nn?Pia ata baadhi wanaopinga umu jamvini kama ukibahatika kukamata cmu zao naamini ukosi kukuta picha za utupu wamedownload.Kifupi tuache unafiki
mwendomdundo
Umeongea the truth in the professional way, kwa mfano mi sipigi wala sijawahi piga wala sitapiga kura BBA wala Miss world, lakini sioni kama napaswa kuingilia people's life, that is non of my concerns, kila mtu afanye anachojisikia ilimradi havunji sheria za nchi, lazima tujifunze kuvumiliana, faizafox we alikwambia wakaa uchi wanakupenda we mvaa hijabu ni nani? We usivyopenda life style yao na wao hawapendi ya kwako vivyo hivyo. Civilization ni pamoja na kuvumiliana.
 
Last edited by a moderator:
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa ktk media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote ktk maisha zaaidi ya upu.uzi mtupu....
Kama vp nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain...
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa.
Na tupinge mashindano ya kipu. Uzi kama haya nchini kwetu.

naunga mkono toka waziri wa vijana kipindi kile Dk.Emanuel Nchimbi alipotangaza umma kuwa hayo mashindano hayana baraka za serikali...hili jukumu la kupiga marufuku upuuzi waikabidhi polisi mbona raia wote watanyooka?
 
Mimi huwa sishabikii upuuzi wowte ule ambao unashusha hadhi ya ubinadamu. Watembea uchi wote hawafai kuitwa binadamu
 
Kuanzia huyo Daiomnd wao..,walohangaika kumpigia kura wote ni wapuuzi..,yaan mtu badala ya kufanya mambo ya msingi unakaa na kupigia kura uhuni wa Big Brother..au unampigia kura yule muhuni Daimondi..ni upuuzi uliopitiliza...na hivi vyombo vya habari badala ya kuhimiza watu wakajiandikishe kupiga kura kuamua maisha yao, mnahimiza kuwapigia kura wafuska..hatari kubwa..mtu utakuta mishipa ya shingo inamtoka kabisa kwa sababu ya Daimond..mi mke wangu nshamwambia siku nkimsikia n mambo ya daimond naenda kwa babake kudai mali yangu..sitaki upuuzi nyumbani kwangu.
 
naunga mkono toka waziri wa vijana kipindi kile Dk.Emanuel Nchimbi alipotangaza umma kuwa hayo mashindano hayana baraka za serikali...hili jukumu la kupiga marufuku upuuzi waikabidhi polisi mbona raia wote watanyooka?

Hao polisi wako waambie wamkamate yule jaama aliyeiweke serikali dhaifu ya ccm mfukoni licha ya kuwa ana husishwa na makosa ya jinai kughushi,kutakatisha pesa ndo uje kujihushisha na kuzuia BBA,mwalimu aliwaambie mkifungua dirisha hewa itaingia na nzi mende nyoka ndo haya sasa nachelewa ngoja nimgongee kura mwanetu Idris Sultani alete mpunga bongo
 
serikali imeshasema haina baraka zao just democracy we have, pia JK mtu mpole sana lakini ingekuwa enzi za Ben hata bendera ya taifa wangeenda na picha tu tena mnaipiga kwa siri mbele ya ofisi ya mtaa
 
wewe kweli kichwa mavi sasa polis watafanya jukumu gani kuzuia teh teh teh. kumkamata mtu na kumuweka ndani akiongea au kuandika neno BBA ?!

dogo ni kipiga marufuku tu hasa BBA kwanza hiyo visa ya kutoka marufuku labda abadili uraia ndo ashiriki hayo mashindano ya ufuska
 
Back
Top Bottom