Faiza foxy kipi bora kuwapigia kura ccm ambao kila kukicha serikali yao na wanachama wao ni mafisadi na wahujumu uchumi au kumpigia kura idriss ambae amekwenda kujitafutia maisha yake kwa namna anayoamini itamtoa katika maisha ya kimasikini?
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa katika Media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote katika maisha zaidi ya upuuzi mtupu. Kama vipi nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain!
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa. Na tupinge mashindano ya kipuuzi kama haya nchini kwetu.
Topic nzuri lakini jinsi ulivyoileza nadhani kuna walakini
You can do better than that MZEE
Kuanzia huyo Daiomnd wao..,walohangaika kumpigia kura wote ni wapuuzi..,yaan mtu badala ya kufanya mambo ya msingi unakaa na kupigia kura uhuni wa Big Brother..au unampigia kura yule muhuni Daimondi..ni upuuzi uliopitiliza...na hivi vyombo vya habari badala ya kuhimiza watu wakajiandikishe kupiga kura kuamua maisha yao, mnahimiza kuwapigia kura wafuska..hatari kubwa..mtu utakuta mishipa ya shingo inamtoka kabisa kwa sababu ya Daimond..mi mke wangu nshamwambia siku nkimsikia n mambo ya daimond naenda kwa babake kudai mali yangu..sitaki upuuzi nyumbani kwangu.
Kula like yangu mkubwa,vyovyote vile ilivyo tuangalie finally anapata nn na kwa kiasi gan pesa atakayopata atainvest na kuajiri watanzania wangapi au kwa kiasi gan ataiweka hiyo pesa kwenye mzunguko na kufaidisha watanzania walio wengiHebu nisaidie kuna mtanzania mwenzetu dola laki 3 inamchungulia na kitu pekee kati yake na hiyo pesa ni kura yangu. Je ni bora nimnyime kura abaki maskini kisa alikaa uchi au kumpigia kura achukue ma $$$ halafu tumkeme badae.
Naam, ni upuuzi usio na mfano. Kati ya civilization za mwanzo kabisa kwa binaadam ni pamoja na kujuwa kujistiri tupu zake na kuvaa nguo, leo tukapigie kura wavuwa nguo na watembea utupu kwa makusudi kabisa wakijianika bila kujali chochote.
Eti maendeleo! Khaa! kama si ujinga huo ni nini?
Bora kupiga kura kwa big brother kuliko kuwapigia kura mafisadi walio laaniwa wa ccm shenzy taipu.
ndo haohao watetea wezi
mi sio mshabiki wa BBA ila kila mtu aishi kivyake
sipigii kura CCM tu ndio takataka to me...ila yotee napigia tu Lol