Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Haya msibishane nimesikia huyo mtu kashinda sijui ameshinda kitu gani walichokuwa wanashindania.hebu mwenye picha yake aweke hapa nimfahamu maana naweza kukumbana nae mtaani kumbe ni mtu maarufu angalau nipige nae picha .
 
Kumbe ukiwa na elfu99 ya kununua dstv na kumudu kulipa elfu 17 kwa mwez we tajir!!subir waone hizo hela zinavyoteketeaga na kubaki jina tu ndo wataamini ni mchezo wa kishetan!
 
Naskia kashinda wadada wa mjini nao hawachelwi watamganda mpate ziishe
 

Attachments

  • 1418023447849.jpg
    58.4 KB · Views: 254
Haya msibishane nimesikia huyo mtu kashinda sijui ameshinda kitu gani walichokuwa wanashindania.hebu mwenye picha yake aweke hapa nimfahamu maana naweza kukumbana nae mtaani kumbe ni mtu maarufu angalau nipige nae picha .

usisahau kufungua akaunti mkombozi bank.
 
Kila mtu ataulizwa namna alivyo chuma na kutumia...
Kazi kwenu washangilia michezo haramu.
 
Watu wengine bhana... yaani unoko wa nyumbani kwao wanauleta hadi huku!! Kila mtu dunia hii na starehe zake ili mradi hakuna anayelazimishwa kufuata starehe za mwingine!! Wakati wengine wanaweza kuacha shughuli zao na kuwaangalia akina Kafulila wakichanana bungeni, wengine kwao huo ni upuuzi tu usiohitaji hata dakika moja kuufuatilia! Kama wewe sio mtu wa burudani mambo kama haya unaweza usiyaelewe... narudia, kama wewe sio mtu wa burudani manake utakuta mwingine ni mpenzi wa muziki peke yake lakini mathalani, ylinapokuja suala la fashion show, anaona ni upuuzi.... mtu kama huyo sio mpenzi wa burudani bali ni mpenzi wa muziki na hata ukimfuatilia utakuta anaupenda muziki wa aina fulani na mwingine anaona upuuzi wakati wengine wanagonga kuanzia Taarabu hadi Charanga!!

Acha wenye starehe zao wafanye wafanyayo na good enough matunda yao yameonekana! Investments of some thousands or Lakis shillings through voting has helped to bring in $ 300K into our economy!
 
boss kweli kachukua! lakini akiulizwa alifanya nini hadi ameshinda atasemaje kwa mfano?
Ah, it doesn't matter kafanya nini... who cares? By the way, kabla hata sijafikiria kumuuliza Idris kafanya nini hadi ameshinda nitaanza kwanza kuuliza hivi akina William Ngeleja wamefanya nini hadi walipwe mamilioni yote yale na Braza Ruge!!!
 
Kumbe ukiwa na elfu99 ya kununua dstv na kumudu kulipa elfu 17 kwa mwez we tajir!!subir waone hizo hela zinavyoteketeaga na kubaki jina tu ndo wataamini ni mchezo wa kishetan!
Watu wanaingia na mashine mtaani wanaua watu na pesa wanayopata wanafanyia mambo ya maana itakuja kuwa pesa ya BBA ambayo hujaua hata sisimizi? Hayo mengine ni akili ya mtu kwa sababu hata makazini, unakuta mwingine anapokea sh. 500,000 kwa mwezi na anafanya mambo ya maana kuliko anayepokea sh. 5,000,000/-
 

Acha kutulisha maelezo yasio na maana wewe,
Ww ni sawa na wale walio walisha imani wanadamu wenzao eti zamani walikua nyani, hata kama kila mtu ana mapenzi yake ktk jambo flan haimaanishi eti hata yale mapenzi ya majambo yasio na maadili tukiyaona tukaushe tu!
Nakumpa mfano ili uelewe,
Unafahamu kua boko haram, alshabab, ujambazi, uchawi n.k hizo zote ni starehe za watu?
Je una habari kua starehe zao hizo ambazo kwa wengine ni uupuzi wao wanazipenda na zina athari mbaya sana kwa jamii..?
Sasa jiulize pale unaposema starehe za wenyewe zije kuathiri jamii yako.
 
Kila mtu ataulizwa namna alivyo chuma na kutumia...
Kazi kwenu washangilia michezo haramu.

The way u say it as if you're so clean u never sinned before... Lol don't judge a person coz hata bible inasema kipimo upimicho ndo utakachopimiwa.... Dogo kashinfa he was a superb entertainer na hyo ndo njia yake ya kumake money.....
Si wote lazima tuwork kwa office ndo useme tumeearn kihalali....
Maisha ni circle na entertainment ni part ya hyo circle.....
So we ka huelew a thing abt entertainment na BBA yo better stay kimya afu sie tunaoenjoy tuache tuenjoy.....
 
Kumbe ukiwa na elfu99 ya kununua dstv na kumudu kulipa elfu 17 kwa mwez we tajir!!subir waone hizo hela zinavyoteketeaga na kubaki jina tu ndo wataamini ni mchezo wa kishetan!

Bora u isaidie kuna limbukeni mmoja humu aitwa Nkyah, yeye anadhani kua na dstv ndio utajiri,
Hii inadhirisha ametoka lini migombani na kuna twn!
Si ajabu utakuta alimua mkulima wa wa jembe la mkono, kwahyo baada ya kuuza mazao akaamia mjini na kununua dstv ya promo na akajikuta anaingia kwenye list ya matajiri...
 

Another one!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…