Watu wengine bhana... yaani unoko wa nyumbani kwao wanauleta hadi huku!! Kila mtu dunia hii na starehe zake ili mradi hakuna anayelazimishwa kufuata starehe za mwingine!! Wakati wengine wanaweza kuacha shughuli zao na kuwaangalia akina Kafulila wakichanana bungeni, wengine kwao huo ni upuuzi tu usiohitaji hata dakika moja kuufuatilia! Kama wewe sio mtu wa burudani mambo kama haya unaweza usiyaelewe... narudia, kama wewe sio mtu wa burudani manake utakuta mwingine ni mpenzi wa muziki peke yake lakini mathalani, ylinapokuja suala la fashion show, anaona ni upuuzi.... mtu kama huyo sio mpenzi wa burudani bali ni mpenzi wa muziki na hata ukimfuatilia utakuta anaupenda muziki wa aina fulani na mwingine anaona upuuzi wakati wengine wanagonga kuanzia Taarabu hadi Charanga!!
Acha wenye starehe zao wafanye wafanyayo na good enough matunda yao yameonekana! Investments of some thousands or Lakis shillings through voting has helped to bring in $ 300K into our economy!