Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

1 , 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40, 41, 42, 43, 44, 45, 46, 47, 48, 49, 50, 51, 52, 53, 54, 55, 56, 57, 58, 59, 60, 61, 62, 63, 64, 65, 66, 67, 68, 69, 70, 71, 72, 73, 74, 75, 76, 77, 78, 79, 80, 81, 82, 83, 84, 85, 86, 87, 88, 89, 90, 91, 92, 93, 94, 95, 96, 97, 98, 99, 100, 101, 102, 103, 104, 105, 106, 107, 108, 109, 110, 111, 112, 113, 114, 115, 116, 117, 118, 119, 120, 121, 122...
 
qn of sheba don't shout argue, hapa hoja ni hayo mashindano ni upuuzi mtupu, kama watu wana wivu wangemuonea wivu Bakhresa ambaye hizo dollar laki tatu yeye anaspend kwa kununuwa gari tu la kumpeleka ofisini.
 
Last edited by a moderator:
kipengele cha kuoga uchi wakiondoa, tena wanwake na wanaume wanakoga pamoja! kina haribu shindano na kulifanya kama ni shindano la kuonyesha nyuchi!.
 
qn of sheba don't shout argue, hapa hoja ni hayo mashindano ni upuuzi mtupu, kama watu wana wivu wangemuonea wivu Bakhresa ambaye hizo dollar laki tatu yeye anaspend kwa kununuwa gari tu la kumpeleka ofisini.

ndio kashinda hivyo kama bba inawachefua kuleni ndimu msitapike.. hakuna aliyelazimishwa kuangalia wala kupiga kura.
 
Acha kutulisha maelezo yasio na maana wewe,
Ww ni sawa na wale walio walisha imani wanadamu wenzao eti zamani walikua nyani, hata kama kila mtu ana mapenzi yake ktk jambo flan haimaanishi eti hata yale mapenzi ya majambo yasio na maadili tukiyaona tukaushe tu!
Nakumpa mfano ili uelewe,
Unafahamu kua boko haram, alshabab, ujambazi, uchawi n.k hizo zote ni starehe za watu?
Je una habari kua starehe zao hizo ambazo kwa wengine ni uupuzi wao wanazipenda na zina athari mbaya sana kwa jamii..?
Sasa jiulize pale unaposema starehe za wenyewe zije kuathiri jamii yako.
NImekuambia kwamba shuhudia hapa kwamba wewe ni mtu msafi lakini umeshindwa kufanya hivyo... halafu angalia unavyotoa mifano isiyo na mantiki yoyote! Yaani unajiona upo sawa kulinganisha "starehe" ya al-shabab, boko haram, ujambazi, uchawi kwa upande mmoja na Big Brother kwa upande mwingine? Is there any matching? Hayo yote uliyotaja yana direct effect kwa jamii ambayo hata mtoto wa darasa la pili anafahamu... sasa niambie: WEWE binafsi umeathirika nini na suala la Idris kuwa BBA? Familia, ndugu na rafiki zako wameathirika nini na suala la BBA? Toa mifano yenye mantiki...

By the way, hebu eleza hiyo BBA inaathiri vipi jamii yako? Ni miaka kibao imepita tangu BBA iwe hewani na Watanzania kushiriki! Hoja isiyo na msingi ya wapinzani wa BBA eti watu wanaoga uchi mbele ya kamera... Sasa niambie, tangu BBA imeanza kuwa hewani, umewahi kuona wangapi wanaoga hadharani kama moja ya madhara ya BBA? Umewahi kuona wangapi wanapigana pum'bu hadharani ili kuthibitisha hizo ndo negative effect za BBA? Hivi zile DVDs za ngono zilizojaa kwenye mitaa ya Kariakoo na BBA nini tunaweza kusema kinaathiri jamii? We unataka kusema dada zetu wanaopiga picha za utupu wanafanya hivyo baada ya kuona BBA? Maswali mengi ambayo hata moja huwezi kuwa na jibu lenye mantiki lakini lililo wazi ni kwamba wote mnaopinga BBA hamna hoja ya msingi coz' nchi hii kuna mambo mengi na ya kishenzi yanaendelea ambayo ushenzi wake ni mara milioni moja ya yale ya BBA otherwise, taja hapa what's the big issue with BBA!
 
Watu hawa wanaakili kweli?

1. Wamefungiwa ndani

2. Wanalewa nakunywa hovyo

3. wanaoga hadharani

4. wanafanya matendo machafu na ya hovyo hadharani

5. wanaigiza matendo na maisha ya kuigiza ambayo sio halisi kwa mwafrika wakweli

6. wanaopanga mbinu za kuangushana, kuaibishana na kusalitiana

Tunajifunza nini kwa washenzi hawa wa Big Brother kama sio kupotosha asili na maadili ya mwafrika?
Uliyajuaje yote hayo wakati huangalii? Manake kwa jinsi ninavyoifahamu BBA ni lazima ufuatilie toka Day 1 hadi siku ya mwisho ndo unaweza kuona mlolongo wa yote hayo...
 
NImekuambia kwamba shuhudia hapa kwamba wewe ni mtu msafi lakini umeshindwa kufanya hivyo... halafu angalia unavyotoa mifano isiyo na mantiki yoyote! Yaani unajiona upo sawa kulinganisha "starehe" ya al-shabab, boko haram, ujambazi, uchawi kwa upande mmoja na Big Brother kwa upande mwingine? Is there any matching? Hayo yote uliyotaja yana direct effect kwa jamii ambayo hata mtoto wa darasa la pili anafahamu... sasa niambie: WEWE binafsi umeathirika nini na suala la Idris kuwa BBA? Familia, ndugu na rafiki zako wameathirika nini na suala la BBA? Toa mifano yenye mantiki...

By the way, hebu eleza hiyo BBA inaathiri vipi jamii yako? Ni miaka kibao imepita tangu BBA iwe hewani na Watanzania kushiriki! Hoja isiyo na msingi ya wapinzani wa BBA eti watu wanaoga uchi mbele ya kamera... Sasa niambie, tangu BBA imeanza kuwa hewani, umewahi kuona wangapi wanaoga hadharani kama moja ya madhara ya BBA? Umewahi kuona wangapi wanapigana pum'bu hadharani ili kuthibitisha hizo ndo negative effect za BBA? Hivi zile DVDs za ngono zilizojaa kwenye mitaa ya Kariakoo na BBA nini tunaweza kusema kinaathiri jamii? We unataka kusema dada zetu wanaopiga picha za utupu wanafanya hivyo baada ya kuona BBA? Maswali mengi ambayo hata moja huwezi kuwa na jibu lenye mantiki lakini lililo wazi ni kwamba wote mnaopinga BBA hamna hoja ya msingi coz' nchi hii kuna mambo mengi na ya kishenzi yanaendelea ambayo ushenzi wake ni mara milioni moja ya yale ya BBA otherwise, taja hapa what's the big issue with BBA!

Hata muhongo alieleza kua pesa si za wananchi kisa tanesco ina madeni.!
Maana yake si kua kila jibu unalo toa lazima liwe sahihi kwa ukisemacho.

Logical resoning zako ni za kitoto sana wala huwezi kujibishana na mimi...
 
Hivi kuna reasoning za kitoto kama kulinganisha BBA na ujambazi, uchawi, al shabab, boko haram
Unafahamu kua boko haram, alshabab, ujambazi, uchawi n.k hizo zote ni starehe za watu? Je una habari kua starehe zao hizo ambazo kwa wengine ni uupuzi wao wanazipenda na zina athari mbaya sana kwa jamii..?
Sasa jiulize pale unaposema starehe za wenyewe zije kuathiri jamii yako.
Baada ya kuishiwa hoja na kushindwa hoja unajifanya eti huwezi kujibishana na mimi... and to be honest, ni kweli coz' what you write are just craps na wala huna ubavu wa kujibishana na mimi na ndio maana hakuna swali hata moja nililokuuliza ambalo umeweza kumejibu
 
Tunampigia kura mara buku zoezi linaendelea kama hutaki usipige tunampenda happness
 
Mi nadhani sio upuuzi kuwa pigia vijana hawa kura kwa sababu ushindi wao una faida kubwa mbili: -
1. Ushindi wao wanapatiwa fedha za kigeni' fedha zile zinakuja kwetu ie: Idriss $3,000,000/= Happines hatujui akishinda taji ataleta kiasi gani
2. Ushindi wao unaitangaza Tz pakubwa mno

Balaa ni kwamba wakati watu wanastruggle vijana hawa washinde walete sifa na hela ndani ya nchi hii kuna wazee wamekaa mkao wa kuangalia wataziiba vipi kuzirudisha kwenye acc za nje.

Ila tusichoke na tusikate tamaa tupige KURA
 
Uliyajuaje yote hayo wakati huangalii? Manake kwa jinsi ninavyoifahamu BBA ni lazima ufuatilie toka Day 1 hadi siku ya mwisho ndo unaweza kuona mlolongo wa yote hayo...

Inaonekana jamaa mfatiliaji sana,maana mimi sikujua km kuna mlolongo wa namna hiyo
 
Mi nadhani sio upuuzi kuwa pigia vijana hawa kura kwa sababu ushindi wao una faida kubwa mbili: -
1. Ushindi wao wanapatiwa fedha za kigeni' fedha zile zinakuja kwetu ie: Idriss $3,000,000/= Happines hatujui akishinda taji ataleta kiasi gani
2. Ushindi wao unaitangaza Tz pakubwa mno

Balaa ni kwamba wakati watu wanastruggle vijana hawa washinde walete sifa na hela ndani ya nchi hii kuna wazee wamekaa mkao wa kuangalia wataziiba vipi kuzirudisha kwenye acc za nje.

Ila tusichoke na tusikate tamaa tupige KURA

Achana na wapumbavu wanaoponda mkuu.. Ila pesa aliyochukua Idris ni $ 300,000
 
Na Miss Wetu amekamata Namba Mbili katika People's Choice....

Endelea Kuangalia Tamthilia zinazofundisha maana Naona Bado hujaelimika Toka Uanze Kuangalia ......
 
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa katika Media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote katika maisha zaidi ya upuuzi mtupu. Kama vipi nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain!

Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa. Na tupinge mashindano ya kipuuzi kama haya nchini kwetu.

we endelea kuuatiliA mahubiri ya mchungaji mwingira na kumpa sadaka.
 
Back
Top Bottom