proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Kwa hali ya kawaida katika maisha ya kila siku jambo moja huanza taratibu na mwishowe huwa ni mazoea.
Kiasili ubongo wa mwanadamu hupenda starehe sana kuliko shida. Yaani mtu anaweza kushikwa uvivu, kughairisha mambo, kuacha kazi baada kuona ni ngumu japo inalipa, kulala sana n.k. Hivyo mara nyingi watu hujilazimisha kufanya jambo ili kufikia malengo.
Kwa mfano umelala sana lakini asubihi inafika asubuhi usingizi haujaisha, inakulazimu kuamka tu ili uende kazini.
Licha ya hilo la usingizi usipojilazimisha kuacha jambo fulani unalochukulia kawaida unaweza kujikuta unafanya mambo kama haya yafuatayo;
-kulala sana
-kuchezea simu sana
-kughairishwa mambo
-kuchelewa kulala
-kunywa pombe sana
-kufanya mapenzi sana
-kuoiga nyeto sana
-kukaa kwenye TV mda mrefu
-kuvuta sigara au bangi sana
-kubet sana
-kufanya kazi unayoipenda sana (uraibu huu ni mzuri lakini)
Upo uraibu wa aina nyingi hivyo uraibu unasababishwa na kemikali inayozalishwa na ubongo iitwayo 𝒅𝒐𝒑𝒂𝒎𝒊𝒏𝒆.
kutokana na hayo ni uraibu gani unatamani kuacha lakini uneshindwa?.
Unatafuta suluhisho wa huo uraibu?
Tujuzane hapa kwenye uwanja wa ujumbe "comment section".