Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi.

Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa?

Toa pongezi kwake hadharani.
 
 
Back
Top Bottom