Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

:A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::ballchain::ballchain::ballchain::mad2::mad2::mad2:
Usipate presha honey ukianza kusikiliza tabloid newspapers hatufikii mbali tutakuwa tunaenda hatua tatu mbili halafu tunarudi kumi nyuma
 
Hashy, michelle nawatafuta siwaoni banaa
 
Michelle mwanzo mgumu na watu kama hawa wapo tuu....hawa ndo wakuvumilia hawa...halafu sisi tunavul....na

Sawa kabisa,tuwe tunazungumza kwa PM basi,wasijue raha zetu.....lol
 
Aisee kweli TF ni hartibreka... Ati nimeshakua tabloid news.... uwiiiiiii...

Usipate presha honey ukianza kusikiliza tabloid newspapers hatufikii mbali tutakuwa tunaenda hatua tatu mbili halafu tunarudi kumi nyuma
 
wako ukiwa naye...akitoka si wako mpenzi...theory za home huzikumbuki???:msela:

hahahahah mie theory za home sizifuatagu lol
nikiwa naye ni wangu, akitoka tunatoka wote kwa hiyo bado ni wangu
AD Theory hahahahah lol
 
Samahani sana kama nimekosea. Nilitaka tu kujua unaweza sema mdada kumbe mkaka kama mimi si vizuri

Sasa mkaka humu unadhani hata kuna wadada na wakaka humu, humu kuna keyboard tu....hivi keyboard yako ni jinsia gani?
 
Uliyo yasema ni jambo la msingi sana katika ndoa . Mambo yote yanaweza vumilka lakini siyo kutoka nje ya ndoa, hili jambo lazima mtu yeyote anayetaka kuingia kwenye ndoa atambue hilo. Uvumilivyo kwenye suala la kutoka nje ya ndoa linaweza kuwa na madhara makubwa sana, watu wameshapoteza maisha kwa kuvumilia hili jambo.


 
hahahahah mie theory za home sizifuatagu lol
nikiwa naye ni wangu, akitoka tunatoka wote kwa hiyo bado ni wangu
AD Theory hahahahah lol
Mwambie hizo THEORY ni za kwake mwenyewe kwetu they don't apply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…