Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Sijui kwa nini mmeichakachua thread nzuri namna hii, haya mkalete fimbo niwachape.
Hii ilibidi watu watoe mahekima hadi ifikie page 200, mahekima tupu.
 
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu

Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu akakupa tabu sana,ila uvumilivu ni
kitu cha busara,kwani inawezekana akakusumbua sana,akukera kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu lakini bado unahitaji kuendelea kuwa naye maana licha ya kukukera ,ila anakupenda kwa dhati. kumbuka kuwa uvumilivu ni nguzo ya pekee ili tuweze kufika mbali katika mahusiano ukizingatia kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha.

Tusiachane jamani embu fikiria utaacha au kuachwa na wangapi kama ukiwa si
mvumilivu,wakati mwingine mtu anaweza akakukera lakini hakukusudia bado anahitaji uwepo wako hivyo ni muhimu kumsaidia kutokana na matatizo aliyonayo huenda kuna siku ataelewa vipi aishi na mwenzie,ingawa inawezekana ikachukua muda mrefu hasa kama atakuwa hapendi kufanyia kazi ushauri wa mwenzake.

UVUMILIVU NI WA MUHIMU KWANI VINGINEVYO HATUTAFIKA NA PIA NI MUHIMU KUYAGUNDUA MAPUNGUFU ULIYONAYO ILI UJIREKEBISHE.

Ni hayo tu.

Pheew!! inategemea kama mtu unataka ádventure' ha ha

Kiukweli kuna watu wengine hawavumiliki au uvumilivu unafika kikomo hata kama umependa vipi. Ilhali mtu ulivyozaliwa hukujua utakutana na mtu fulani hivyo ukichoka si budi ufike tamati.
 
:clap2:...asante finest!.LOVE IS PATIENT AND KIND!
 
Sijui kwa nini mmeichakachua thread nzuri namna hii, haya mkalete fimbo niwachape.
Hii ilibidi watu watoe mahekima hadi ifikie page 200, mahekima tupu.
Teamo na akina GY ndio wamechakachua thread
 
Kama mtu anakupenda iweje akukere?
Utavumilia vipi kero wakati utakuwa hufurahii maisha.
Kama kero zingekuwa zinaleta furaha tungezivumilia sana.
Ila binafsi nitaweza kuvumilia tu mwanzoni, vikizidi itabidi nijimuvuzishe kwakweli.
 
Ha ha ha ha ha lol!!!!!!!!
 
huwa una tembelea pale migomigo kwenye ile hoteli wana pigaga taarabu?....lo.l
Ha ha ha TRAVERTINE HOTEL Jumapili dah acha kuna siku banaa nikaenda kutembezwa pale nikasema i wont dare go back there again khaaaaa!!!!!
 
Ha ha ha TRAVERTINE HOTEL Jumapili dah acha kuna siku banaa nikaenda kutembezwa pale nikasema i wont dare go back there again khaaaaa!!!!!

gimme da xperience broda....manake pale juu umesema ka mzee yusufu kabsaaaa....."Ha ha ha miye nimeishatulia kwa wangu wa ubani nina amani ya kutosha.''
 
Mimi na wewe tuna kesi kubwa sana you have to bribe me first

Nawe niku-bribe jamani?? sa nitaku-bribe nini? utakuwa unam-bribe kaka yako as ndo mwenye vyote nilivyo navyo.....kesi ya nini kaka yangu TF???:coffee:
 
gimme da xperience broda....manake pale juu umesema ka mzee yusufu kabsaaaa....."Ha ha ha miye nimeishatulia kwa wangu wa ubani nina amani ya kutosha.''
Ha ha ha mazee kule acha tu mambo ya kule banaaa wale watoto wa magomeni sijui ilala sijui ni kinondoni khaaaa
 
Ha ha ha TRAVERTINE HOTEL Jumapili dah acha kuna siku banaa nikaenda kutembezwa pale nikasema i wont dare go back there again khaaaaa!!!!!

Walikutuza mtoto wa watu,mambo yale hukuzoea...naomba niishie hapo???? vipi uliweza weka vidole juu???kama nakuona walahiii!!!
 
Back
Top Bottom