duh! i have to digest this....
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu
Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu akakupa tabu sana,ila uvumilivu ni kitu cha busara,kwani inawezekana akakusumbua sana,akukera kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu lakini bado unahitaji kuendelea kuwa naye maana licha ya kukukera ,ila anakupenda kwa dhati. kumbuka kuwa uvumilivu ni nguzo ya pekee ili tuweze kufika mbali katika mahusiano ukizingatia kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha.
Tusiachane jamani embu fikiria utaacha au kuachwa na wangapi kama ukiwa si mvumilivu,wakati mwingine mtu anaweza akakukera lakini hakukusudia bado anahitaji uwepo wako hivyo ni muhimu kumsaidia kutokana na matatizo aliyonayo huenda kuna siku ataelewa vipi aishi na mwenzie,ingawa inawezekana ikachukua muda mrefu hasa kama atakuwa hapendi kufanyia kazi ushauri wa mwenzake.
UVUMILIVU NI WA MUHIMU KWANI VINGINEVYO HATUTAFIKA NA PIA NI MUHIMU KUYAGUNDUA MAPUNGUFU ULIYONAYO ILI UJIREKEBISHE.
Ni hayo tu.
Where have you been hiding unapotea sana:clap2:...asante finest!.LOVE IS PATIENT AND KIND!
Teamo na akina GY ndio wamechakachua threadSijui kwa nini mmeichakachua thread nzuri namna hii, haya mkalete fimbo niwachape.
Hii ilibidi watu watoe mahekima hadi ifikie page 200, mahekima tupu.
Duh!!! Yaani weweNimemjibu kumkatisha tamaa aache kunisingizia niko na GY while tuko wote wangu....nisamehe,wajua sishirikishi mtu kwenye iliyo riziki yako.
Nimepata shahada ya mahekima juzi pale JEI JEIDogo Finest, kumbe ukitulia unakua na mahekima hivi.
Ok, ok, Am still Re-thinking!!
Ha ha ha ha ha lol!!!!!!!!Kama mtu anakupenda iweje akukere?
Utavumilia vipi kero wakati utakuwa hufurahii maisha.
Kama kero zingekuwa zinaleta furaha tungezivumilia sana.
Ila binafsi nitaweza kuvumilia tu mwanzoni, vikizidi itabidi nijimuvuzishe kwakweli.
Duh!!! Yaani wewe
Ha ha ha miye nimeishatulia kwa wangu wa ubani nina amani ya kutosha.Nimegraduate degree ya kumtuliza mpenzi hapo MAGOMENI kwa aunt ASHA UNIVERSITY....... :first:
Mimi na wewe tuna kesi kubwa sana you have to bribe me firstNimegraduate degree ya kumtuliza mpenzi hapo MAGOMENI kwa aunt ASHA UNIVERSITY....... :first:
Ha ha ha miye nimeishatulia kwa wangu wa ubani nina amani ya kutosha.
Ha ha ha TRAVERTINE HOTEL Jumapili dah acha kuna siku banaa nikaenda kutembezwa pale nikasema i wont dare go back there again khaaaaa!!!!!huwa una tembelea pale migomigo kwenye ile hoteli wana pigaga taarabu?....lo.l
Ha ha ha TRAVERTINE HOTEL Jumapili dah acha kuna siku banaa nikaenda kutembezwa pale nikasema i wont dare go back there again khaaaaa!!!!!
Mimi na wewe tuna kesi kubwa sana you have to bribe me first
Ha ha ha mazee kule acha tu mambo ya kule banaaa wale watoto wa magomeni sijui ilala sijui ni kinondoni khaaaagimme da xperience broda....manake pale juu umesema ka mzee yusufu kabsaaaa....."Ha ha ha miye nimeishatulia kwa wangu wa ubani nina amani ya kutosha.''
Ha ha ha TRAVERTINE HOTEL Jumapili dah acha kuna siku banaa nikaenda kutembezwa pale nikasema i wont dare go back there again khaaaaa!!!!!