Ni ushauri tu: You can either take it or leave it


............ Mjukuu Mtiifu....................
 


hahaha so interesting,
On a second though, in the event kwamba mnaamini kwamba mmejuana, mmefahamiana, na bado mtu ana behave in a strabge way, as if ile "sema Su and I am gone" hapo unapata picha gani?
 
hahaha so interesting,
On a second though, in the event kwamba mnaamini kwamba mmejuana, mmefahamiana, na bado mtu ana behave in a strabge way, as if ile "sema Su and I am gone" hapo unapata picha gani?

wakati uko kwenye process ya kujuana yani hukuona hata dalili moja ya.... "sema Su and I am gone",

mimi binafsi sifagilii kabisa hiyo tabia ya "umimi", yaani ni kama mtu anakufanyia favour kuwa na wewe, c'mon, kila mtu ana needs katika mapenzi ndo maana anafuta mtu... watu wengi wanendelea kuwag'ag'ania watu wenye tabia hii kwa sababu tu, na yeye anafaidika...labda pesa,au esteem mtaani, etc etc...

lakini kama wewe ishu ni mapenzi huyu wa "sema su am gone" anakua hakufai, hata kama alipretend mwanzo baadae tabia yake inaonekana u just have to let go and you can alwys find a person (sio mkamilifu), ila mwenye nia ya kufight for his/her relationship.
 

u couldnt have said it better...I love it.....wow....thanks God for what you have Given me...!:clap2::clap2:
 
Ushauri wa Mjukuu nimeupenda sana actually i have learnt something from it once again thanks
 

leney napenda mtazamo wako juu ya hii topic, thanks for additional comments
 
Teh teh! Mkuu naona umegusa wadau kwa kiac kikubwa sana. Ni suala la kuvumiliana pande zote. Sisi ni binadamu na hatujakamilika. Kwenye mapungufu tusameheane,kwenye furaha tupongezane na kupeana moyo. Hivyo ndivyo maisha yanavyoenda.
:clap2::clap2::clap2:
 
Where are you?????
 

Nashangaa nimechelewa kukupa konzi la thanx, anyway mambo ya DO-ONCE yanatuharibia siku
 
Umesomeka mdau,kuacha sio dawa unaweza kukutana na balaa kuliko la mwanzo,na hakuna mtu aliye perfect kabisa :clap2:
 
Ok.... but Not infedility....hapo hakuna hii..."""" Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu """

WE gotta mean biznezz in every aspect..not just dabbling.
 
Loud and Clear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…