Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Mh! ni kweli lakini uvumilivu unaokufanya upate hata maradhi yanayoweza kukuletea umauti si hatari zaidi? maana unajaribu kumsihi ajirekebishe wala haonyeshi hata dalili za kuacha mambo yanayokuumiza mwisho ni kisukari na presha ya kupanda na kushuka.
 
Ni kweli uvumilivu nao una mwisho wake ukifikia kikomo hauwezi kuendelea kuvumilia
 
Umenena vyema... lakini kumbuka siku zote usiwe mtumwa wa binadamu mwenzako in the name of love au uvumilivu... SOME PEOPLE ARE JUST NOT MADE FOR EACH OTHER
 
Umenena vyema... lakini kumbuka siku zote usiwe mtumwa wa binadamu mwenzako in the name of love au uvumilivu... SOME PEOPLE ARE JUST NOT MADE FOR EACH OTHER
Kweli kabisa MZEE WA MEMKWA kuwa mtumwa in the name of love au uvumilivu itakuumiza sana
 
Nimeupenda sana huu ushauri dah humu kuna great thinkers wa ukweli
 
Muhimu ni UPENDO. Uvumilivu una mwisho,upendo hauna mwsho..
 
<br />
<br />
jiheshimu wewe izo time za kutesana zishapitwa na wakat, we uteseke dunian kwa ajili ya mpumbavu mmoja kesho tena mginguni moto unakusubiri sasa izo akili au matope, take care hizi sio karne za kua mtumwa wa mapenz akizingua unasepa mbona hawa wadudu wako wengi sana au we domo zege nini?
 
the most difficult thing in this world is to wait yaani ukiweza kuwa na subra ktk dunia hii wewe umefaulu maana ninavyoona mm kufanya subra ni sawa na kunywa shubiri bila kufunga macho unywe kama soda ndo kitu kinachowashinda wengi,tujitahidi wakuu tuwe na subra kwa kila jambo
 
True...., We always hurt those who loves us most..... Lakini Tukumbuke not to take advantage of the love, someone feels for us, knowing or thinking that they will always forgive us.
It is true try to show that one u love not to take advantage of your delicate love
 
Maoni yangu, kuna watu humu jamvini wakiongelea mapenzi naona kushoto kweli kama mkuu TF, unajua kila mtu anamfikiria mtu kutokana na post zake, kwa huyu kaka namwonaga kama padri fulani, asiyejishughulisha na mambo ya mapenzi Nikirudi kwenye mada, kwa kweli ni muhimu kujua mwenzako weakness zake, itakufanya kumwelewa na kuweza kumchukulia kwa namna yeyote, as long as mapenzi yapo, sababu wengine huwa ni wagomvi tu na ugomvi wao haumaanishi hakupende la hasha, ndivo alivyo, uvumilivu kwenye mahusiano ni kitu namba moja
 
Soma title yake mkuu, you can take it or leave it
 
True!!!!!
 
Shantel nimecheka kweli kitu gani kimekuja kichwani ukaamua kusema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…