Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

sivumilii kwa mtu ambaye anakulostisha kimaisha, kila ukianzisha biashara yeye ni kuharibu tu. Kisa ni mpenzi na ndio mapungufu yake. Nimeshindwa
 
Halafu mambo unayofanya sio vizuri mambo gani ya kutesana hivyo bwana

kaka sijakuelewa :twitch::twitch::twitch: ninamtesa nani tena???

Nielekeze tu labda sijui kama namtesa mtu.......:coffee:
 
The Following User Says ACHA KUVUMILIA TO The Finest IN This DAMN LIFE:

GY (Today)​
Khe Khee Kheee GY eheeee mimi sina mbavu za ziada ujue mshikaji wangu
 
kaka sijakuelewa :twitch::twitch::twitch: ninamtesa nani tena???

Nielekeze tu labda sijui kama namtesa mtu.......:coffee:

Michelle tumevumuliana vya kutosha, unaonaje tupande stage sasa
 
Ama kweli mapenzi kizunguzungu ushamsamehe mara hii na umechukua nyumba?? Ha ha ha ha mie sisamehi na wala sina uvumilivu bana. Ukiniudhi nakupiga chini tu
Wewe mbona unapenda kuingilia ndoa za watu ngoja nikufunge minyororo hiyo miguu yako
 
Ama kweli mapenzi kizunguzungu ushamsamehe mara hii na umechukua nyumba?? Ha ha ha ha mie sisamehi na wala sina uvumilivu bana. Ukiniudhi nakupiga chini tu

hakuna aelewaye mapenzi yetu
bali ni yako baina yetu

hahahah lol
 
UVUMILIVU NI WA MUHIMU KWANI VINGINEVYO HATUTAFIKA NA PIA NI MUHIMU KUYAGUNDUA MAPUNGUFU ULIYONAYO ILI UJIREKEBISHE.

Brodaa, you talk like the bishop of Cantbury himself.

You have said it all Mkuu, nimekusenksi!
 
UVUMILIVU ni mradi wa Hasara....!

Infact hata biznec proposal yake haiwezi kabisa kuangaliwa na DONAAAZ
 
Back
Top Bottom