Ni Utani tu.

Ni Utani tu.

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Uko sehemu umekaa na wenzako, mara anakuja mdogo wako, anakwambia mama kanituma nikwambie, ile sufuria ya uji atie maji au utailamba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] ni UTANI tu...
 
Tatizo nyie wanawake ni walafi mno
 
Uko sehemu umekaa na wenzako, mara anakuja mdogo wako, anakwambia mama kanituma nikwambie, ile sufuria ya uji atie maji au utailamba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] ni UTANI tu...
Unaumri gani? Hebu tuanzie hapo.
 
HahahHahaaaa umekaa na washikaj anakuja mawingu mawingu iv mvua inakaribia kunyesha dogo anakuja kaka kawahi kutoa godoro lako litayeshewa limeshakauka
 
Back
Top Bottom