Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Young soulimeti amechafukwa, msamehe bure 😀😀Sema tu sijawahi kutukana mtu hapa JF vinginevyo ningekuporomoshea matusi non stop kmmk. Basi tu! 😬😬😬🚮
View attachment 3214428
Wanajua Tu kuna mshamba ataingia kingiMm kuna dada la la kizungu liliniambia linaish brigham uingereza amenipenda
Ikafkia sehemu machale yakanicheza nikaomba video call mbona nilioga matus yote ya kinigeria 🤣🤣🤣
😀😀Mm kuna dada la la kizungu liliniambia linaish brigham uingereza amenipenda
Ikafkia sehemu machale yakanicheza nikaomba video call mbona nilioga matus yote ya kinigeria 🤣🤣🤣
Mbongo humwambii kitu kwa mzungu hata ukimwambia ale Mavi ya mzungu atakula tu! Kwamba kuchati nae siku mbili tayari amekupa na iPhone? Mbona huu utapeli wa kitambo sanaKisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu ya iPhone 16.
Yeye anaishi London uingereza na siku aliyotuma mzigo alisema kuwa amekosa ndege inayokuja moja kwa moja Tanzania hivyo akatuma kwenye ndege inayoishia Kenya maana walimwambia kuwa mzigo ukifika wanaweza kufanya delivery uwanja wa ndege ulio karibu (hapahapa East Africa).
Basi bwana yule mzungu akatuma mzigo na akanitumia picha ya mzigo pamoja na risiti na zote Zina majina yangu maana aliniambia nimtumie majina yote matatu na namba ya simu, na akaniambia mzigo utafika Nairobi baada ya masaa 9 na akanisisitiza kuwa niwe Makini na muda kwani mzigo ukishafika watanijulisha na kweli baada ya masaa Tisa (mzigo aliutuma saa 2 usiku saa 11 ukawa umefika Jomo Kenyatta Airport Kenya).
Wale jamaa wa airport wakanipigia wakaniambia kuwa Kuna mzigo wangu wameupokea kutokea uingereza na umeshalipiwa Kila kitu ni Mimi kwenda na kitambulisho Changu tu nikauchukue.
Nikawaambia Mimi sipo Kenya nipo Tanzania Kama wanaweza kuutuma wautume. Kwa sehemu niliyowaambia wakasema inagharimu shilingi 125,000 ili mzigo ufike uwanja wa ndege niliopo.
Wamenionesha na picha ya mzigo kabisa ndio ule uliotumwa Kule uingereza. Sasa najiuliza hii kitu imekaaje? Maana wao wanasema mzungu kalipia mzigo mpaka pale ulipofikia Ila hizo gharama za kuja huku Tanzania ni gharama nyingine kwakuwa mzigo unatakiwa kukatiwa ticket na hiyo ni gharama ya ticket.
Na njia ya malipo wamesema naweza kutumia mpesa au Tigo pesa. Ndo najiuliza hapa nitumie au nakaribia kutapeliwa? Maana Sina uzoefu na upokeaji wa mizigo iliyotumwa kutokea nje ya nchi.
Nawasilisha wakuu. Naombeni ushauri wenu.
Mambo mengine yanakera soulimeti! ❤️Young soulimeti amechafukwa, msamehe bure 😀😀
Sio 2019......hio ilikua toka 2008,Yahoo boys,wa-Nigeria ndio mishe zao hizo wametajirika sana kwa kuwaibia wapumbavuBado upo nyuma Sana ndg, hio michezo sisi tumechezewa 2019
Pesa yake ila unatamani umpige makwenzi wewe, utapeli wa kizamani huo😀Mambo mengine yanakera soulimeti! ❤️
Aaaaaargh!
Hiyo miujiza ilifanyika enzi za Musa na Wana wa Israeli tena ulikuwa ni msosi tu. Sasa dunia hii ilivyochafuka unapataje free boat?? 🤣🤣🤣Nimekutana navyo mara nyingi tu Swahiba...
Hadi kwenye email huko..🤣
Si ushangae na wewe sasa.🤣Hiyo miujiza ilifanyika enzi za Musa na Wana wa Israeli tena ulikuwa ni msosi tu. Sasa dunia hii ilivyochafuka unapataje free boat?? 🤣🤣🤣
Na wazngu pia wapo mkuu,kipind nakaa nyumba za kupanga moro Town Kuna jamaa muuza nguo alipigwa ad alipagawa akaletewa mzungu n jamaa yake wa kalibu yule mzungu anadai alitokea mikum akasema ampe M3 akamletee mizogo ya ngu ya kutosha content 2 na nusu mwamba akaingia kingi kauza ad boda yake katoa na ela ya mtaji wa nguo kampa mzungu baada ya kumpa akimpigia mzungu sim hapatikan na yule mbongo ambae n mwanae wa faida pia hapatikan n mtihan Sana kwakweliAlafu unaweza kuta sio mzungu ni waafrika hawa hawa wanajua kuna Mtu ataingia kingi