Nikifanikisha nitakurudiaNenda kwa mwenyekiti akupe barua ya kwenda kuchukua kibali kwa mzee wa nyumba 13 maana cku hizi watu wameongezeka sio kumi tena. Baada ya hapo atakupa barua ya kwenda kwa mwalimu aliyekufundisha civics mwambie akupe notes zote uende nazo hadi hospital iliyo karibu na wewe wakugongee mhuri. Baada ya hapo watakwambia uende mirembe ward no.3 utakutana na mtu hapo amekaa kwene kona atakusainia. Kaz kwisha.
Bange mbichi.Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali
Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria
Nawasilisha
Kuna kijana mmoja wa miaka 20’s nilimuona huko ticktock anaitwa Daniel Jackson, wamemnyima usajili wa ka nchi kake alikokavumbua, alishapata jina na currency kabisa na wakazi 400 😅na yeye ndiye akawa rais. Alikapata ka nchi kake between Croatia and Serbia.Dunia kubwa hii kuna sehemu hazijaguswa kabisa siwezi kuzitaja nikauza idea na vitendea kazi vyake wewe nipe muongozo tu huwezi kukosa ugavana endapo nikifanikisha
. Ufanikishe na nini au mim nimekupa njia rahisi ya kuingia mirembeNikifanikisha nitakurudia
Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujitangaza mwenyewe kabla sijapata kibali chochote je nikifanya hivyo hawatanivamia mimi na watu wanguKuna kijana mmoja wa miaka 20’s nilimuona huko ticktock anaitwa Daniel Jackson, wamemnyima usajili wa ka nchi kake alikokavumbua, alishapata jina na currency kabisa na wakazi 400 😅na yeye ndiye akawa rais. Alikapata ka nchi kake between Croatia and Serbia.
Pambana labda wewe utafanikiwa mwanetu.
Usijidanganye, huna eneo.Sina mpango wa kugawana mali za waarabu Mimi nina eneo langu na watu ninao hapa natafuta kibali tu sijui naanzia wapi
Ndio unajitangazia kwanza, ila mwenzio wamempiga exile, serikali ya serbia na croatia wote hawamtaki.Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujitangaza mwenyewe kabla sijapata kibali chochote je nikifanya hivyo hawatanivamia mimi na watu wangu
Sawa mkuu najua ngozi nyeusi haiamini kitu hadi kitokeeUsijidanganye, huna eneo.
Kama lingekuwa eneo lako tayari ingekuwa n nchi yako automatically.
Hilo eneo unalojidanganya nalo ni mali ya serikali, na ww unajua hilo ila unajidai taahira.
Kwa jiografia ya eneo langu hakutakuwa na ukinzani nimefanya exploration mwaka wa sita sasa eneo hilo halimilikiwi na nchi yoyote nitakuja na mrejeshoNdio unajitangazia kwanza, ila mwenzio wamempiga exile, serikali ya serbia na croatia wote hawamtaki.
Jiandae.
Soma document (Sheria) inaitwa Montevideo Convention .Eneo na watu ninao mkuu nipe muongozo
Eneo umepata sehemu gani nije nifanye survay kama nikiona panafaa tutafanya partinership maana nilikua na wazo kama lakoNimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali
Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria
Nawasilisha