Wadau,
Naomba nijulishwe kuhusu utaratibu wa kubadili combination, say kutoka PCB kwenda HGL ambazo zote zinatolewa kwenye shule hiyo hiyo.
Nina maana kwamba mwanafunzi amechaguliwa PCB lkn anataka abadili na kusoma HGL ndani ya shule hiyo hiyo.
Natanguliza shukrani.