Ni utovu wa nidhamu na kuvuka mipaka kubishana na mwenyekiti wako wa chama!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kiukweli na kiuhakika sitarajii wewe kama kweli ni mtiifu ,muadilifu ,mpenda haki na mcha Mungu kwa vyovyote vile unapokwazika eti uamue kubishana na kumdhihaki kiongozi wako wa chama!

Kama kweli umekwazika na kiongozi wako wa chama zipo taratibu za kufuata ambazo ni haki na maadili .

Nchimbi aliwahi kukwazika na maamuzi ya Wazee wa Chama...alisema namna alivyokwaza wazi wazi...lakini hakudhihaki na leo hii tunamshuhudia yupo kwenye nafasi kubwa kichama...na kila mmoja wetu anamheshimu na kumkumbuka.
 
Utafungua nyuzi hata mia 5, lakini tambua kitu kimoja, jana sio leo, na leo sio kesho, jingalao la jana, sio la leo, wala sio la kesho.

Unaweza kuwafanya baadhi ya watu ni wajinga wakati fulani, lakini huwezi kuwafanya watu wote ni wajinga kwa wakati wote.
 
Kiukweli na kiuhakika sitarajii wewe kama kweli ni mtiifu ,muadilifu ,mpenda haki na mcha Mungu kwa vyovyote vile unapokwazika eti uamue kubishana na kumdhihaki kiongozi wako wa chama!

Kama kweli umekwazika na kiongozi wako wa chama zipo taratibu za kufuata ambazo ni haki na maadili .

Nchimbi aliwahi kukwazika na maamuzi ya Wazee wa Chama...alisema namna alivyokwaza wazi wazi...lakini hakudhihaki na leo hii tunamshuhudia yupo kwenye nafasi kubwa kichama...na kila mmoja wetu anamheshimu na kumkumbuka.

Kuhusu utekwaji, au?
 
Ndio maana ukajiita jingalao, mwenyekiti ni cheo tuu na kazi yake ni kuongoza vikao na kuchangia maamuzi, watu mmekuwa abused sana mkiona cheo mnasimama kutoa shikamoo, pumbaf sana
 
Kutaka kukomesha wasio julikana SI utovu wa nidhamu hata kidogo!
 
Kiukweli na kiuhakika sitarajii wewe kama kweli ni mtiifu ,muadilifu ,mpenda haki na mcha Mungu kwa vyovyote vile unapokwazika eti uamue kubishana na kumdhihaki kiongozi wako wa chama!

Kama kweli umekwazika na kiongozi wako wa chama zipo taratibu za kufuata ambazo ni haki na maadili .

Nchimbi aliwahi kukwazika na maamuzi ya Wazee wa Chama...alisema namna alivyokwaza wazi wazi...lakini hakudhihaki na leo hii tunamshuhudia yupo kwenye nafasi kubwa kichama...na kila mmoja wetu anamheshimu na kumkumbuka.

Mungu baba fanya wepesi huyu ndugu yetu jinga lao atekwe yeye na familia yake
 
Hawa watu wanataka kuiga tabia za China wanasahau China ule mfumo wa kikomusnist ni imani na unasimamiwa na miungu ya China na imeunganishwa na imani ya kazi. Uchapajikazi ni mojawapo ya imani toka wakiwa wadogo na imeanza tangu shule za awali.Sasa eti hawa ndugu zangu wanaouza hata mradi mwepesi kama wa mabasi wanataka wautumie.Kule China kiongozi kuna saa ile miungu yao inaamua awe kiongozi wa maisha,baada ya kuona anafanikisha uchumi.Sasa hapa tunaiga kulinda madalali na chawa.Tuige uchapa kazi tuachane na kutafuta laana za kipuuzi
 
Kiukweli na kiuhakika sitarajii wewe kama kweli ni mtiifu ,muadilifu ,mpenda haki na mcha Mungu kwa vyovyote vile unapokwazika eti uamue kubishana na kumdhihaki kiongozi wako wa chama!

Kama kweli umekwazika na kiongozi wako wa chama zipo taratibu za kufuata ambazo ni haki na maadili .

Nchimbi aliwahi kukwazika na maamuzi ya Wazee wa Chama...alisema namna alivyokwaza wazi wazi...lakini hakudhihaki na leo hii tunamshuhudia yupo kwenye nafasi kubwa kichama...na kila mmoja wetu anamheshimu na kumkumbuka.

GwEqWZ_XQAAXxWV.jpeg
 
Back
Top Bottom