Ni uzembe au wameota pembe?

Ni uzembe au wameota pembe?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nimechelewa kurudi kwa nyumba nikawaza juu ya kupika menu ya usiku, vile muda ulikuwa umenitupa nikaona nipitie kwa supermarket moja wanatumia slogan ya Tanzania Sisi ni Nyumbani, hii ipo kwa mall moja hapo tegeta (Kibo Complex)

Mara chache napenda ku_buy mkate, na nilipofika nilienda moja kwa moja nikachukua brown bread na ingine white bread, Ila niliona hiyo white yote imeoza, kitu moja nikashindwa fanya ni kuwapata jamaa wa TBS usiku huo, but niliwapa onyo kwa nini hawapo makinj kufuatilia hizo vyakula zinazokaa muda mfupi na kuarubika?

Na vipi kama ningenunua na kesho asubuhi nikawapelekea hao KBS kwamba nimeuziwa expired bread, n nini wangefanya hao jamaa na gani faida ningepata?
 
hueleweki unataka nini.......kiswahili kigumu bro
Upo sahihi kiswahili ni kigumu, kama umesoma umeielewa Ila kama umepapasa juu juu ni kweli hujaelewa kitu!!.
 
Back
Top Bottom