Obvious, hili tatizo ni la kutengenezwa na baadhi ya watu humohumo ndani ya serikali...
Haiwezekani kwamba, hali ya umeme kwa kipindi cha miaka takribani saba tangu 2015 ilisha - stabilize kwa karibu 90%, lakini ghafla imeingia regime mpya ya Mama Samia na watu wake, hali imebadilika ghafla na kurudi kule zama za symbion na IPTL za kina mzee Jakaya Kikwete...!
Wananchi tuamkeni....
Kuna roho za kuzimu na za kishetani zimekalia kiti cha Ikulu ya nchi hizi...
Hawa roho wachafu wana sura na maumbo ya kibinadamu lakini kiutendaji ni mashetani wabaya, wauaji na wachinjaji...
Roho hawa wachafu ndio wanaoelekeza raia wa nchi hii kuishi maisha ya kuzimu ya mateso ya wakiwa hapa duniani kwa kuharibu mifumo ya maisha bora ya kijamii...
Kiongozi yeyote asiyepatana nayo akitokea kukitaka kiti hicho, kama hana Mungu wa Kweli na Yesu Kristo mwana wa Mungu, kwa hakika kabisa watamchinjilia mbali kama walivyofanya kwa John P. Magufuli...
Wana wa Mungu Yehova katika Yesu Kristo, twendeni vitani na tupigane vita ya rohoni kwa njia ya kuomba sana kwa ajili ya nchi na taifa letu hili zuri...
Hana uwezo wowote huyu mfalme wa anga na kuzimu. Sisi tunaye mfalme wa wafalme, YESU KRISTO ambaye alishamshinda yeye aliyekuwa na nguvu ya mauti yaani - Ibilisi ili sisi wana wa Tanganyika tuwekwe huru. Ni uamuzi tu...!!