johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaelewa maana ya kukua kwa Huduma za kiuchumi? 😀Kuna viongozi wangapi kwenye hayo maeneo uliyoyataja wanaoongoza? Kwahy hao wameshindwa kuyaendeleza kwahy tulete viongozi mara mbili zaidi ya hao ndio patakuwa na maendeleo.
Unataka kumnusuru yule kinyang'unya dhidi ya Sugu?🤣🤣🤣Baada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi
Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe
Mungu wa mbinguni awabariki Tume Huru ya uchaguzi 🌹
Mkuu mbunge au Diwani haleti maendeleo,sio jukumu wala wala wajibu wake. Hilo ni jukumu la serikali basi.Majimbo yakigawanywa maana yake pia idadi ya wabunge itaongezeka.
Swali la kujiuliza, je wabunge wakiongezeka kutaleta maendeleo chanya kwa majimbo husika au ndio tutaongeza idadi ya watu wa kusinzia ktk vikao vya bunge kwa kigezo cha kutuwakilisha huku wakizitafuna mil18 za mishahara pamoja na malupulupu kila mwezi?
Yaani tuwaongezee mzigo walipa kodi. Mimi natamani majimbo yaunganishwe na tuondoe ubunge wa viti maalumu ili kubana matumizi na hiyo hela ilekezwe kwenye huduma za kijamii ka afya na elimu.Kuna viongozi wangapi kwenye hayo maeneo uliyoyataja wanaoongoza? Kwahy hao wameshindwa kuyaendeleza kwahy tulete viongozi mara mbili zaidi ya hao ndio patakuwa na maendeleo.
Majimbo ni mengi mno, huo wote ni mzigo kwetu walipakodiBaada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi
Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe
Mungu wa mbinguni awabariki Tume Huru ya uchaguzi 🌹
Mkuu, pamoja na sababu ulizo zielezea, lakini msingi wako upo kwenye kuwa nusulu wagombea ubunge wa Chama fulani! ambacho umekiona hakitafanya vyema katika uchaguzi ujao kama majimbo hayo yakibaki kama yalivyo. Mkuu, usiongeze gharama zisizo kuwa za msingi.Baada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi
Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe
Mungu wa mbinguni awabariki Tume Huru ya uchaguzi 🌹
Acheni kutuongezea gharama za kijinga, hapo jimboni kuna DC/DAS/DED/Madiwani/Wakuu wa Idara na wataalam wengine hawa wote hawaoni kero za wananchi ni mbunge pekee anaona au mbunge anawabeba mgongoni wananchi? Wabunge wenyewe wanaenda kugonga meza, sisi tunataka majimbo yapungueBaada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa Huduma za kiuchumi
Kadhalika Jimbo langu la Kawe nimeshaomba muda mrefu tu ligawanywe
Mungu wa mbinguni awabariki Tume Huru ya uchaguzi 🌹