Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?
Natoa wito kwa Mabalozi Wazee kujitokeza hadharani na kutangaza kujiuzulu wao wenyewe ili kupisha damu changa zenye ubongo unaowaza mambo mapya .