Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
mbona hajataja wanaenda nchi gani? Wapinzani hakuna? kweli naye anawachukia kama Jiwe?Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?
Hivi wewe una habari Rais Biden wa Merikani ana umri gani? Comments nyingine tumieni busara kidogo.Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?
Mbona Chadema haibadirishi Mwenyekiti zaidi ya miaka ishirini? Ina maana haina vijana wa kuleta tija ndani ya Chadema na kwenye Upinzani kwa ujumla?Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?
Kwa hiyooo?Hivi wewe una habari Rais Biden wa Merikani ana umri gani? Comments nyingine tumieni busara kidogo.
Mkuu unataka mama Jr. wa stokhom akumwagie mvua ya matusi, tunamsubiri huku alituahidi kutujengea shule baada kupokea hela za usalitiUtumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?
Ukitaka kujua ubalozi sio sehemu ya mchezo jaribu kuchunguza CV
Hakuna uwianoHivi wewe una habari Rais Biden wa Merikani ana umri gani? Comments nyingine tumieni busara kidogo.
Napinga. Balozi anatakiwa awe mtu mwenye uzoefu wa mambo mengi. Angalia mabalozi kwa mfano wa Marekani.Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?
Uzi unasema hawa wa kwenu hawana tijaNapinga. Balozi anatakiwa awe mtu mwenye uzoefu wa mambo mengi. Angalia mabalozi kwa mfano wa Marekani.
ππππMkuu unataka mama Jr. wa stokhom akumwagie mvua ya matusi, tunamsubiri huku alituahidi kutujengea shule baada kupokea hela za usaliti
Shida hiyo ya kutumia nguvu ya ushawishi,ule wa kuhakikisha maslahi binafsi,au maslahi ya mfumo wa kunufaisha wa change,ndio unaokwamisha Waafrika na Watanzania.Siku tukitambua yote haul ndio tutakapo yapata maendeleo ya kweli.Vinginevyo tutaburuzwa na waliojitambua na kuutumia vyema faida ya kutojitambua kwa wengi wetu.Utumishi wa Umma ni kama mbio za kupokezana vijiti , unakimbia umbali wako baadaye unamwachia mwenzio naye aendelee , huo ndio ustaarabu
Haiwezekani watu wamezeeka lakini bado tunaendelea kuwaachia kazi zilizozidi uwezo wa ubongo wao , Nothing lasts longer , tubadilike , mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?
Bila shaka utakuwa uliye kula chumvi na kuonja manufaa kwa mfumo usiotaka mabadiliko chanya hivyo siitaraajii ukawapa nafasi damu changa yenye uwezo unaokuzidi mitazamo na weledi.SIkubaliana kabisa na hizi porojo za kulazimisha vijana kupewa nafasi za uwongozi, Vijana wa zama hizi hasa wa nchi hii ni watu wa ovyo sana. Tuache kulalamika.
mbona kuna vijana wengi sana wanaojiheshimu na wenye uwezo ?