Ni vema sasa Mabalozi Wazee warejeshwe nyumbani, hawana tija yoyote

Ubalozi inahitaji watu mature na well seasoned. Sio kazi za kupunguzia tatizo la ajira nchini.
 
Bora wazee waendelee tu kupewa nafasi .....Kama vijana wenyewe ndio Hawa kina 7ya..na yule bashite


Hao 2-3 ndio iwe sampuli ya kuona Vijana wote kuwa kama wao?

Wapo vijana mahiri wenye subira, weledi, uadilifu n.k
 
Point nzuri. Ingependeza pia na Mbowe aachie uenyekiti damu changa Chadema. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…