Ni vema sasa Mabalozi Wazee warejeshwe nyumbani, hawana tija yoyote

Wazee kama wanapiga kazi vizuri acha waendelee tuu, na muache mawazo ya kutegemea ajira za serikali wenzako vijana wenye akili wako busy kuanzisha makampuni na kuajiri wengine, umelala sana wewe
 
Wanarudi mkuu
 
SIkubaliana kabisa na hizi porojo za kulazimisha vijana kupewa nafasi za uwongozi, Vijana wa zama hizi hasa wa nchi hii ni watu wa ovyo sana. Tuache kulalamika.
Poa mzee mwenzangu
 
Hivi uwe balozi wa kuiwakilisha nchi inatakiwa uwe na sifa zipi?
 
Hivi uwe balozi wa kuiwakilisha nchi inatakiwa uwe na sifa zipi?


Uwe Kada wa chama tu!

Ufahamike na Viongozi wa juu, wasaidizi wakuunganishe utapata.

Kuna vijana kule Wizara ya mambo ya nje wana elimu ya juu na kubobea na uzoefu lakini wapowapo tu sana sana wakati wa JPM walirudishwa nchini na wengine hata kutolewa kwenye hiyo Wizara kabisa lakini haijawahi kufikiria kutangazwa hizo nafasi waombe watu wabunifu badala yake wanapewa watu kwa upendeleo, kujuana, kikada n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…