Ni vema Taddeo Lwanga kuanza kwenye kikosi badala ya Mzamiru na Kennedy kuanza badala ya Wawa?

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Huenda Simba SC ikawakosa wachezaji tegemeo, Sadio Kanoute (Box to Box Midfielder) na Joash Onyango (Defender) kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC, kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates April 17, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Baadhi ya Mashabiki wa Simba na Wadau wa Kabumbu Nchini Tanzania wamekuwa na maoni tofauti kwenye kupanga Kikosi cha Simba SC.

Asilimia kubwa wanaamini Taddeo Lwanga kuanza badala ya Mzamiru Yassin na Kennedy kuanza badala ya Wawa.

Utabiri Wangu: Manula, Kapombe, Hussein, Ennock, Kennedy, Mkude, Mzamiru, Sakho, Bwalya, Mugalu, Morrison.

Je kwa upande wako una lipi katika hili..?!
 
Yes ,
1.manula
2.kapombe
3.Tshabalala
4.kenedy
5.Henocker
6.Mkude
7.Morisson
8.Bwalya
9.Mugalu
10.Sakho
11.Banda /Kibu
 
1.Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Kennedy
5. Inonga
6.0Lwanga
6.1Mkude
7. Morrison
11. Sakho
8 &10Banda
9. Mugalu
Injinia Lwanga anatakiwa kuwa makini sana kutokana na ukabaji wake, ni game tafu sana hatua hii ya Mtoano

Vinginevyo Red Card mapema tu, nakumbuka game ya ASEC ameingia dakika 5 tu ana Yellow
 
Kenedy aanze mwepesi alafu anacheza mipira ya cross.
sinahakika kama Lwanga yupo kwenye form huko mazoezini,Mkude au Lwanga kama yupo firt kuingia kwenye mfumo.
 
dah lwanga aisee kadi dak 0 tu akipigwa chenga huwa anashika mabega na kuvuta jezi
Unakumbuka ile game..? Ameingia dakika chache ana Yellow, huku akiponea chupu chupu Red Card..!
 
1.Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Kennedy
5. Inonga
6.0Lwanga
6.1Mkude
7. Morrison
11. Sakho
8 &10Banda
9. Mugalu
Kiufundi, huwezi kumchezesha Lwanga na Mkude maana wote ni Holding Midfielder, ukiwa unacheza Double Pivot utakuwa na Holding mmoja na Box to Box mmoja na hapo Mzamiru ana uwezo huo.

Lakini Kocha ndo anajua zaidi nini cha kufanya.
 
Kiufundi, huwezi kumchezesha Lwanga na Mkude maana wote ni Holding Midfielder, ukiwa unacheza Double Pivot utakuwa na Holding mmoja na Box to Box mmoja na hapo Mzamiru ana uwezo huo.

Lakini Kocha ndo anajua zaidi nini cha kufanya.
Muzamiru aanze japo kocha wetu nunda sana
 
1.Manula
2.Zimbwe
3.Kapombe
4.Henock
5.Wawa
6.Mkude
7.Sakho
8.Mzamiru
9.Kagere
10.Bwalya
11.BM3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…