Ni vema wagombea wa vyama vyote wakajitangaza mapema ili tuwapime

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima.

Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao.

Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia.

Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu Rungwe wa Chaumma inaeleweka bayana ni wagombea wa vyama vyao.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Mzee mbona unaleta husda? Hii yote sababu Mama ameondoa ule utata wa "kijigazeti"?

Tunaenda na Mama.

# Mama 2025
 
Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima.

Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao.

Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia.

Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu Rungwe wa Chaumma inaeleweka bayana ni wagombea wa vyama vyao.

Mungu ni mwema wakati wote!

Watangazaje wakati huohuo wamegomea chaguzi mpaka tume iwe huru?
 
Sijawahi kupiga kura ILA kama CCM watamrudisha huyu mama nitaenda kupiga kura upinzani hata wakisimamisha tofali
 
Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima.

Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao.

Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia.

Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu Rungwe wa Chaumma inaeleweka bayana ni wagombea wa vyama vyao.

Mungu ni mwema wakati wote!
Naunga mkono hoja.
P
 
CCM ni lini ilimpitisha Hangaya kuwa Mgombea Urais 2025 ?
 
Mwaka 2025 ntakuwa na miaka 41. Guess what? Ntarudi kijijini kwenda kujihusisha na kilimo! 😀😀😀
 
Unawapima kwa kuangalia vitu gani sasa? ikiwa wengne ata kwenye system ya utendaji hawamo kusema kwamba utawapima kwa utendaji wao
 
Back
Top Bottom