johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Ufipa watabisha!Mzee mbona unaleta husda? Hii yote sababu Mama ameondoa ule utata wa "kijigazeti"?
Tunaenda na Mama.
# Mama 2025
Wale hawajielewi walibadili gear hewani wakatua baharini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaaa....... Ufipa watabisha!
Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima.
Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao.
Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia.
Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu Rungwe wa Chaumma inaeleweka bayana ni wagombea wa vyama vyao.
Mungu ni mwema wakati wote!
Naunga mkono hoja.Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima.
Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao.
Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia.
Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu Rungwe wa Chaumma inaeleweka bayana ni wagombea wa vyama vyao.
Mungu ni mwema wakati wote!
Bwashee naona kama vile una bifu na chief H!Hahahaaaa....... Ufipa watabisha!
CCM hatuna uchaguzi wa Rais hadi 2030!Bwashee naona kama vile una bifu na chief H!