Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

johnthebaptist na wengine naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....

Ukikuta anayekamuliwa ndiye huyu:

FolQpVRaEAEb4UX.jpeg
 
johnthebaptist na wengine naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
Kwa mfano hapo Chadema unapomwona Mbowe anayakumbuka mabilioni yake aliyoyatumia kujenga Chama chenye Mbunge mmoja miaka 30 tangu kiasisiwe

Hiyo ni dalili ya kufeli uongozi!
 
Ukiona rushwa imetamalaki kila ofisi,
Ukiona kila kukicha kuna ajali na watu kufa kama panzi

Ukiona watu wamekaa vijiweni kuanzia asubuhi wakiwa hawajui mchana atakula wapi ila amekaa anacheza bao tu basi ujue hapo hakuna kitu
 
Jondhebaptisti nenda congo ujifunze umuhimu wa katiba mpya. Acha unafiki.
 
Ukiona mtu anakunywa pombe ya asali anaanza kukata mauno
 
johnthebaptist na wengine naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
Ukiona rais atisha, abateka, anajeruhi na anaua watu wenye mawazo mbadala ujue huyo rais nchi imemshinda kilichobaki ni kutumia mabavu kulazimisha mambo.
 
1. Ugumu wa maisha
2. Panga pangua nyingi
3. Harufu ya Katiba kutumika kwa maslahi binafsi/fimbo
 
Back
Top Bottom