Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

johnthebaptist na wengine naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
Kushindwa kudhibiti gharama za mahitaji muhimu ya Wananchi wake!
Ata Bibi tungekuwa tunajielewa angefurushwa Ikulu!
 
1,Kuiruhusu nchi ijiongoze yenyewe.

2,,kuruhusu watu wajipakulie kila mtu kwa ulefu wa kamba yake lkn waangalie wasivimbewe,

3,kutafuta sifa na huruma kwa makundi ya waharifu, km vile kutangaza kuwalipa watu waliofoji vyeti feki,

4,kuwatetea mafisadi na watu woote waliohujumu nchi,
5,kutuhusu maliasili kupolwa na kusombwa kwenda nje ya nchi,kama madini na wanyama,
 
Kwa mfano hapo Chadema unapomwona Mbowe anayakumbuka mabilioni yake aliyoyatumia kujenga Chama chenye Mbunge mmoja miaka 30 tangu kiasisiwe

Hiyo ni dalili ya kufeli uongozi!
We mtu ni mwana CCM mwenzangu kweli?

Kama swali ni chungu unalipotezea
 
johnthebaptist na wengine naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
Angalia waliomzunguka, ahadi asizotekeleza, hali za maisha za watu wa kawaida, kudumaa au kutokua kwa uchumi, kutotoa huduma, kutodhibiti mfumko na deni la taifa, kutoacha kusafiri nje, kuendekeza safari za nje na matumizi yasiyolinga na mapato, kutokusanya mapato vilivyo, kuupiga mwingi na kupenda kusifiwa hata asipostahili.
 
Back
Top Bottom