Kushindwa kudhibiti gharama za mahitaji muhimu ya Wananchi wake!johnthebaptist na wengine naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
EXACTLYKushindwa kudhibiti gharama za mahitaji muhimu ya Wananchi wake!
Ata Bibi tungekuwa tunajielewa angefurushwa Ikulu!
We mtu ni mwana CCM mwenzangu kweli?Kwa mfano hapo Chadema unapomwona Mbowe anayakumbuka mabilioni yake aliyoyatumia kujenga Chama chenye Mbunge mmoja miaka 30 tangu kiasisiwe
Hiyo ni dalili ya kufeli uongozi!
Unaona kuwa CCM kuna takataka tupu! Can you imagine such a stupid answer! johnthebaptistWe mtu ni mwana CCM mwenzangu kweli?
Kama swali ni chungu unalipotezea
Angalia waliomzunguka, ahadi asizotekeleza, hali za maisha za watu wa kawaida, kudumaa au kutokua kwa uchumi, kutotoa huduma, kutodhibiti mfumko na deni la taifa, kutoacha kusafiri nje, kuendekeza safari za nje na matumizi yasiyolinga na mapato, kutokusanya mapato vilivyo, kuupiga mwingi na kupenda kusifiwa hata asipostahili.johnthebaptist na wengine naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
Kama kuibiwa kura na wabunge ni kufeli SAWA!Kwa mfano hapo Chadema unapomwona Mbowe anayakumbuka mabilioni yake aliyoyatumia kujenga Chama chenye Mbunge mmoja miaka 30 tangu kiasisiwe
Hiyo ni dalili ya kufeli uongozi!
Wapo wazalendo wa kweli na ngadu wapo piaUnaona kuwa CCM kuna takataka tupu! Can you imagine such a stupid answer! johnthebaptist