Ni vigezo gani uwenavyo ili kufanya kazi na kampuni?

Ni vigezo gani uwenavyo ili kufanya kazi na kampuni?

raiswenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
848
Reaction score
1,535
Habari zenu ndugu zangu, mimi kama mjasiriamali naweza kufanya kazi na kampuni (kwa kutoa huduma kwa makapuni na mashirika) as an individual? au lazima pia niwe na kampuni ndipo wanaweza ku consider proposal yangu?

Taratibu za mashirika na makapuni zikoje katika kufanya kazi na watu wanaotoa service as individuals lakini hawajisajili kama kampuni?
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom