Ni vigezo/masharti gani wkt wa kufungua case CMA

Ni vigezo/masharti gani wkt wa kufungua case CMA

jeremiamnzava

Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
20
Reaction score
24
Naomba msaada wako wa kisheria
Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja
Ambapo ulianza mwaka jana,
Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures hazikufuatwa
Naomba kujua nikifungua shauri CMA
Kwenye form 1 nature of dispute nitachagua termination of employment kuclaim unfair termination au nita tick kwenye breech of contract?
Au nitatick vyote viwili vya unfair termination na breech of contract?

Ikiwa ni breech of contract or unfair termination naweza kuweka madai mengine
kama overtime na general damage/psychological distress?
Pia ikiwa breech of contract inamana part b ya CMA form 1 sitojaza?
 

Attachments

Mkuu,

Kwa kesi yako, umeachishwa kazi bila sababu za msingi, hivyo chagua "Termination of employment".

Kwenye sehemu ya Type of Termination, chagua “Unfair termination” (Termination not based on fair reasons or procedure).
 
Ikiwa ni breech of contract or unfair termination naweza kuweka madai mengine
Kuhusu Breach of Contract ni tofauti kidogo:

  • Breach of contract ni ukiukwaji wa masharti ya mkataba (mfano kushindwa kulipa mshahara n.k)
  • Unfair termination ni kuachishwa kazi bila kufuata taratibu au kwa sababu zisizo halali.
 
Naomba wataalam na wazoefu wa haya mashauri yanayoendana CMA mnisaidie hapa
NIna maswali matatu Naomba ufafanuzi wa kisheria
1. Ikiwa mwajiriwa yupo kwenye fixed term contract, mwajiri akamuachisha kazi CMA nitaenda kufile breach of contract, je kwenye kufile case CMA time limit itakuwa siku 30 pale notice of termination ilipotolewa au siku 60?.

2. Ikiwa filing ya kesi inahitajika within 30 days na mwajiri alikupa notice of termination ya siku 30 mbapo aliandika termination will take effect on 18 august
je ukifile case within 30 days kabla haziajisha ili kuavoid kuwa nje ya muda haiwezi kuleta effects kama termination haijatake effects kama ilivyoelezwa kwenye termination notice.

3. CMA na muongozo wa CMA siku 30 zinahesabika siku ya notice of termination ilipotolewa au baada ya actual termination kutake effect?.
 
Kinachokuq considered ni tarehe yako ya mwisho kua kazini, I mean siku ambayo termination imetokea.
As long as hizo siku 30 utalipwa mshahara wako utahesabika kua ndan ya muda.
Ila kama hulipwi stahiki zako nashauri nyanyua majestic nenda CMA sasa hivi.
Wale ndugu wako poa sana watakusaidia vizuri
 
Na kwa wafanyakazi wa serikali ambao termination yao kuna internal appeal procedure
Wanahesabiwa hizo siku 30 from notice of termination?
 
Na kwa wafanyakazi wa serikali ambao termination yao kuna internal appeal procedure
Wanahesabiwa hizo siku 30 from notice of termination?
Hapo sielewi kabisa tunaomba ufafanuzi
Kwasababu wapo wanaosema CMA wanahesabu kuanzia siku uliyopewa notice of termination
Wengine wanasema inahesabika tangia ile siku termination inatake effect
Kwa mfano notice of termination ilikuwa 18 July lkn imeandikwa termination will take effect on 18 august
 
Back
Top Bottom