jeremiamnzava
Member
- Jul 10, 2024
- 20
- 24
Kuhusu Breach of Contract ni tofauti kidogo:Ikiwa ni breech of contract or unfair termination naweza kuweka madai mengine
Hapo sielewi kabisa tunaomba ufafanuziNa kwa wafanyakazi wa serikali ambao termination yao kuna internal appeal procedure
Wanahesabiwa hizo siku 30 from notice of termination?