Ni vigezo vipi vinatumika timu kucheza Kombe la Shirikisho la Azam?

Ni vigezo vipi vinatumika timu kucheza Kombe la Shirikisho la Azam?

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,115
Reaction score
2,231
Wakuu habar za mda huuu baada ya salam nitoe pole kwa Mashabiki wenzangu wa Simba kwa kutolewa ktk mashindano ya shirikisho japo nimefirahi timu yetu ya nyumbani ya mkoa wa kigoma kusonga mbele ili ijitangaze zaidi na zaidi...

Na sa sasa nijikite moja kwa moja kweny mada tajwa hapo juu hivi ni vigezo vipi hutumika mpaka timu kuweza kushiriki kombe la Azam la shirikisho maana naona mpaka timu za daraja la kwanza zinashiriki sasa natamani kufaham ni taratibu na sheria zp zinatumika kupata hizo timu....

Pia jina la kombe lenyewe la Azam federation kwann liitwe Azam federation na sio Vodacom federation au kirimanjaro federation?? Au ndio wadhamini wakuu wa michuano hiyo.
Karibuni sana mtujuze nadhani sio mm tu nisiejua haya ni kwa faida ya wengi.
Screenshot_20181226-185746.jpeg
 
Back
Top Bottom